Viongozi wa CHADEMA wapelekwa gereza la Isanga

We mzee unawashwa.

Anawashwa how? wakati mwingine tuchambue ukweli,sasa ulitegemea pamoja na kukiukwa/kutotimizwa kwa masharti ya kuwekewa dhamana watolewe tu? Wanaogopwa ama? mbona hatumwangalii huyo katibu kwa upuuzi aliofanya kupelekea haya?
 
Jamani habari hii inauhusiano wa yale mauaji ya bomoa bomoa ya huko dodoma?
Ebu someni topic ya mauaji haya yanafichwa kwa faida gani!!!please!
 
Suala la dhamana lisichukuliwe kirahisi rahisi hadi kuliacha kwa mtu ambaye hakuwa makini.

Lakini hatahivyo, kukosea majina ya wadhamini ni kosa kisheria? Hadi kupelekea mtu kupelekwa polisi? Wajuvi wa sheria msaada tafadhali.
 
Pipo ina maana ile bomoa bomoa ya juzi Chadema ndiyo walikuwa nyuma hadi kesi framed namna hii au mimi ndiye sielewi kitu hapa >
 
CHADEMA wamemwokota wapi huyo katibu wa vijana mbumbumbu wa sheria kiasi hicho?

Kwa hiyo siku CDM wakichukua nchi tutegemee watendaji type ya akina Kizota?!!! This is up**bavu...

Nilishasema humu kuwa wapiga kura watarajiwa wanashawishiwa majukwaani, lakini watendaji na wapigiwa kura watarajiwa wanapikwa (groomed).
Watu wataniona awkward kuwaatack viongozi wangu, lakini nasema tena Dr Slaa na sekretariet yake anatakiwa alifanyie hili kazi. Yes, hatuwezi kukubali kupoteza tena uchaguzi wa 2015 kwa sababu ya kuwa na watendaji na wagombea WABOVU.

Nilikuwepo katika uchaguzi uliopita na niliona sehemu kadhaa tulikuwa na wagombea dhaifu, watendaji dhaifu na viongozi dhaifu sana, jambo ambalo lilifanya kazi ya CCM iwe rahsi mno. Tulipokuwa tunakwenda uchaguzi wa Igunga, niliuliza je, tumeshafanya homework (at least kuanza) ya kuandaa wagombea 'wenye uwezo?'... Niliuliza humu kama uchaguzi utatokea leo tukachukua wagombea mia wa CCM na wagombea mia wa CDM, tukawaweka kwenye kapu moja, alafu tukawapigia kura kugombea na CDM, je waliokuwa wa CDM tangu mwanzo watakaopendekezwa kugombea katika maeneo hayo mia watakuwa zaidi ya 50, watakuwa 50 au watakuwa pungufu ya 50? Jibu probably ni kuwa watakuwa pungufu ya 20...
Wenzetu wanaiba lakini pia wana strength ya kuwa na wagombea wengi wanaouzika na wenye uwezo wa kujiuza...

Dr Slaa na timu yako, please tunatambua kazi nzuir unayofanya ya kuuza chama kwa wapiga kura, lakini tunaomba uongeze juhudi kuandaa wapigiwa kura. Ukitokea uchaguzi let say Manyoni leo, pamoja na Demokrasia ya mwanachama yeyote kugombea, lakini uwe na mtu/watu ambao ulishawagroom, ili kama hatatokea anayewazidi kwa qualification, then tuwe na uhakika tuna mgombea wa maana...
 
Pamoja na madai ya katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana kuwa na wagombea na watendaji makini.
 
Tulishachoka yani tunasubiri tu pakulipukia! nionavyo mie kwenye katiba mpya lami itakuwa mto wa damu! WACHAKACHUE TU! atusubiri tena watu wa dar tutalianzisha sisi huku mikoani.

watu wa dar ndo choka mbaya yaani hawa ndo usiwawazie kabisa ni magalasa tu
 
hapa tusiweke siasa ni sheria kama hayo ni makosa ya kisheria watuhimiwa wanasitahili kwenda rumande

Kuna siku mtalia na kusaga meno,maana wanyonge wote hatutamsikiliza mtu yeyote ama zao ama zetu.
 
Ukweli ni kwamba uongozi wa CHADEMA MKOA NI MBOVU SANA.VIONGOZI WA MKOA WANAFANYA KAZI YA WILAYA,THEN KUNA CONTRADICTIO YA MAJUKUMU.
 
Refers mkutano wa arusha wa uvccm na chadema dodoma, kwa hali hii bila kumwagana vinyesi hatutakaa tukaheshimiana kamwe. Napita
 
Mimi nadhani yale maandamano yetu yaendelee na safari hii tunataka yaje Dar, tumechoka.
 
We should now assign Slaa to choreograph a putsch which will bring down JK's oligarchy. Meanwhile, JF moderators should prop up this audacious plot by circulating petition which will gather all the signatures of those who espouse the idea. Its only then that we will get rid of CCM's repressions and atrocities.
 
Kwa hiyo siku CDM wakichukua nchi tutegemee watendaji type ya akina Kizota?!!! This is up**bavu...

Nilishasema humu kuwa wapiga kura watarajiwa wanashawishiwa majukwaani, lakini watendaji na wapigiwa kura watarajiwa wanapikwa (groomed).
Watu wataniona awkward kuwaatack viongozi wangu, lakini nasema tena Dr Slaa na sekretariet yake anatakiwa alifanyie hili kazi. Yes, hatuwezi kukubali kupoteza tena uchaguzi wa 2015 kwa sababu ya kuwa na watendaji na wagombea WABOVU.

Nilikuwepo katika uchaguzi uliopita na niliona sehemu kadhaa tulikuwa na wagombea dhaifu, watendaji dhaifu na viongozi dhaifu sana, jambo ambalo lilifanya kazi ya CCM iwe rahsi mno. Tulipokuwa tunakwenda uchaguzi wa Igunga, niliuliza je, tumeshafanya homework (at least kuanza) ya kuandaa wagombea 'wenye uwezo?'... Niliuliza humu kama uchaguzi utatokea leo tukachukua wagombea mia wa CCM na wagombea mia wa CDM, tukawaweka kwenye kapu moja, alafu tukawapigia kura kugombea na CDM, je waliokuwa wa CDM tangu mwanzo watakaopendekezwa kugombea katika maeneo hayo mia watakuwa zaidi ya 50, watakuwa 50 au watakuwa pungufu ya 50? Jibu probably ni kuwa watakuwa pungufu ya 20...
Wenzetu wanaiba lakini pia wana strength ya kuwa na wagombea wengi wanaouzika na wenye uwezo wa kujiuza...

Dr Slaa na timu yako, please tunatambua kazi nzuir unayofanya ya kuuza chama kwa wapiga kura, lakini tunaomba uongeze juhudi kuandaa wapigiwa kura. Ukitokea uchaguzi let say Manyoni leo, pamoja na Demokrasia ya mwanachama yeyote kugombea, lakini uwe na mtu/watu ambao ulishawagroom, ili kama hatatokea anayewazidi kwa qualification, then tuwe na uhakika tuna mgombea wa maana...

mkuu hoja yako ni nzuri napendekeza kama ungeiweka kwenye separate thread ili iweze kuchangiwa kwa mapana yake.
 
Mandela alikaa gereza miaka zaidi ya 20, nyie wanamapinduzi hizi siku mbili zivumilieni tu kwani mnatengeneza njia ya ukombozi. Huyu JK ndio rais anayeongoza kwa udikteta katika nchi hii, yeye ndie amewaweka ndani wapinzani wengi kuliko marais wote nchi hii. Bado miaka minne tu lakini, pia asome alama za nyakati, maiti ya rafiki yake Ghadafi bado iko buchani imeoza inanuka... What goes around comes around, leo kwetu kesho kwake.
 
Hivi hawa police si wamesema hakuna aliyekufa katika lile sakata, sasa leo wanakuja na habari za mishale ya sumu...

I smell something fishy hapo, kuna polisi amedondoshwa na mshale wa sumu. Safi sana wananchi, wao ndio wanaturudisha kutumia silaha zetu za jadi
 
Hii kampeni yao kamatakamata itawatokea puani,kwani kila mkoa Viongoz wa Cdm wakiwafungwa,kwa tunaoangalia kwa jicho la tatu wataeneza fikra ya kimapinduzi huko huko magerezani.Siku pakiwako kote patachibika."Ukiona Mzigo unazidi kuwa Mzito Jua Umekaribia Kufika"
 
Back
Top Bottom