Viongozi wa CHADEMA wapata ajali

Viongozi wa CHADEMA wapata ajali

Habari mbaya hivi punde. Mhe. Makam mkt Prof. Safari na Katibu mkuu BAVICHA Julius Mwita na dereva wao Abasi Wamepata ajari mbaya ya gari Singida itigi kitalaka, wako salama japo hali ya Dereva sio nzuri, wote wapo hospital kwa uchunguzi, gari ina hali mbaya kidogo. Tuwaombee wazidi kuimarika kiafya ya mwili na roho... Amen.

Source: Kiongozi wa CHADEMA.
View attachment 384603 View attachment 384604 View attachment 384605 View attachment 384589
Poleni sana. Mjaliwe mpone. Muendelee na ukombozi.
 
Tupo pamoja Viongozi wetu, MUSA ALANI pole pia, Najua umeumia moyo wako Vibaya sana
 
Mungu kaanza kupambana nao dhidi ya mipango yao dharimu.
 
Back
Top Bottom