Viongozi wa CHADEMA wapata ajali

Viongozi wa CHADEMA wapata ajali

Na walegeee wote. Haiwezekani maombi yanayoombwa nchi nzima na Mungu asitusikie waja wake. Mungu ambariki JPM!
Weee kweli shetani,. Tena mjukuu wa shetani! CCM mnawaza mabaya tu, mnawaza mauti tu, mkimaliza kutuua wote mtarudiana wenyewe kwa wenyewe... Hamuwezi kubaki salama
 
Weee kweli shetani,. Tena mjukuu wa shetani! CCM mnawaza mabaya tu, mnawaza mauti tu, mkimaliza kutuua wote mtarudiana wenyewe kwa wenyewe... Hamuwezi kubaki salama
Wanaopanga kutuua ni ndugu zako wanaopanga ukuta, na sie tunasema na laana iwe juu yao.
 
Wanaopanga kutuua ni ndugu zako wanaopanga ukuta, na sie tunasema na laana iwe juu yao.
Hahahahahahha unawaza kinyumenyume! Kumbe mnaogopa UKUTA kiasi hicho? Hahahaha poleni sana
 
Damu ya Yesu iwafunike na kuwalinda hasa na mabaya.....na nyote mpone mapema kuendeleza mapambano dhidi ya mambo uchwara yaliyojaa ktk nchi ya kusadikika, nchi ya viwanda, nchi ya mwendo kasi tuuu.
 
Ona sasa mungu hataki mambo ya kushikishana ukuta, mzee wa watu kastaafu kazi vizuri anakuja pata ulemavu uzeeni.
 
Back
Top Bottom