Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Habari mbaya hivi punde. Mhe. Makam mkt Prof. Safari na Katibu mkuu BAVICHA Julius Mwita na dereva wao Abasi Wamepata ajari mbaya ya gari Singida itigi kitalaka, wako salama japo hali ya Dereva sio nzuri, wote wapo hospital kwa uchunguzi, gari ina hali mbaya kidogo. Tuwaombee wazidi kuimarika kiafya ya mwili na roho... Amen.
Source: Kiongozi wa CHADEMA.
Source: Kiongozi wa CHADEMA.