Viongozi wa CHADEMA Taifa na wabunge wa CHADEMA kwa ujumla huenda mnatafutiwa sabubu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hivi vitendo vyote vya unyanyasaji kwa wanachama wenu huenda vina lengo moja tu la kutaka muishiwe uvumilivu alafu mchukue maamuzi au mtoe kaulI itakayowapa watu hawa sababu ya kuwashughulikia kabla tarehe ili haijafika.

Mikikaa kimya tabu;mkiongea pia tabu hivyo mjue hawana amani as long as mko huru ila watakuwa na amani tu pale watakapokuwa wamewaweka chini ya uangalizi wao na hili ndio wanalitafuta kwa sasa kuelekea ile tarehe.

kwa sasa mtachokozwa sana na kufanyiwa kila figisifigisu kuanzia nyie viongozi wakuu na hata wanachama wenu ili mmingie katika mtego wa kuunga mkono kila kinachopangwa kufanyika au mtoe kauli watakazozitumua kuwashughulile mpaka siku ile ipite.

Kwa sasa nawashauri muwe makini katika kauli na matendo yenu ingawa yanayoendelea kwakweli yanaumiza sana..
 
Dah inauma kweli mfano yanayoendelea hapa Mwanza ni ya kuumiza moyo. Watu kupigwa mabomu msibani ...sijawahi kuona!
Ila tutayashinda tu
 
Hivi vitendo vyote vya unyanyasaji kwa wanachama wenu huenda vina lengo moja tu la kutaka muishiwe uvumilivu alafu mchukue maamuzi au mtoe kaulI itakayowapa watu hawa sababu ya kuwashughulikia kabla tarehe ili haijafika.

Mikikaa kimya tabu;mkiongea pia tabu hivyo mjue hawana amani as long as mko huru ila watakuwa na amani tu pale watakapokuwa wamewaweka chini ya uangalizi wao na hili ndio wanalitafuta kwa sasa kuelekea ile tarehe.

kwa sasa mtachokozwa sana na kufanyiwa kila figisifigisu kuanzia nyie viongozi wakuu na hata wanachama wenu ili mmingie katika mtego wa kuunga mkono kila kinachopangwa kufanyika au mtoe kauli watakazozitumua kuwashughulile mpaka siku ile ipite.

Kwa sasa nawashauri muwe makini katika kauli na matendo yenu ingawa yanayoendelea kwakweli yanaumiza sana..

Mkuu hii ni mara ya pili sasa unafanya makosa ya ' Kimaandishi ' hasa katika ' Headlines ' zako tatizo ni nini? Huwa unawahi wapi? Kunakugharimu nini kufanya tu proof reading? Neno ' Sabubu ' ndiyo neno gani au ' umelitohoa ' wapi?
 
Mr Zero kazini
 
Mnayoyataka wachache, majority hatuna mpango nayo hata, na hatuoni sababu wala hitaji la kufanya hivo
 
Mkuu hii ni mara ya pili sasa unafanya makosa ya ' Kimaandishi ' hasa katika ' Headlines ' zako tatizo ni nini? Huwa unawahi wapi? Kunakugharimu nini kufanya tu proof reading? Neno ' Sabubu ' ndiyo neno gani au ' umelitohoa ' wapi?

Nawe tufahamishe “UMELITOHOA” maana yake au tafsira yake ni nini. Au nawe ulikuwa na haraka
 
Mkuu hii ni mara ya pili sasa unafanya makosa ya ' Kimaandishi ' hasa katika ' Headlines ' zako tatizo ni nini? Huwa unawahi wapi? Kunakugharimu nini kufanya tu proof reading? Neno ' Sabubu ' ndiyo neno gani au ' umelitohoa ' wapi?
Mkuu akili zako fupi sana, Katika uandishi na mawasiliano kuna muktadha wa mazingira hata angeandika kinyakyusa au kichaga as long umeelewa kaa chini

Wewe ni zero brain, Son like Parents, Shame on you

Usijigeuze mhariri hapa Jf kwa kuleta povu na taka za mawazo yako
 
Hivi vitendo vyote vya unyanyasaji kwa wanachama wenu huenda vina lengo moja tu la kutaka muishiwe uvumilivu alafu mchukue maamuzi au mtoe kaulI itakayowapa watu hawa sababu ya kuwashughulikia kabla tarehe ili haijafika.

Mikikaa kimya tabu;mkiongea pia tabu hivyo mjue hawana amani as long as mko huru ila watakuwa na amani tu pale watakapokuwa wamewaweka chini ya uangalizi wao na hili ndio wanalitafuta kwa sasa kuelekea ile tarehe.

kwa sasa mtachokozwa sana na kufanyiwa kila figisifigisu kuanzia nyie viongozi wakuu na hata wanachama wenu ili mmingie katika mtego wa kuunga mkono kila kinachopangwa kufanyika au mtoe kauli watakazozitumua kuwashughulile mpaka siku ile ipite.

Kwa sasa nawashauri muwe makini katika kauli na matendo yenu ingawa yanayoendelea kwakweli yanaumiza sana..
Kimya kina mshindo kikubwa.
Ila kuanzia hawezi kufungwa midomo kwani ndo siasa zinaanza wala wasiwe na wasiwasi kwani wenye itikadi ya upinzani wanaishi nazo na bado wafuasi wasiopenda uonevu nao wataungana na upinzani ili kuupa nguvu na moyo kwa kuonyesha upendo kwao
 
Mkuu akili zako fupi sana, Katika uandishi na mawasiliano kuna muktadha wa mazingira hata angeandika kinyakyusa au kichaga as long umeelewa kaa chini

Wewe ni zero brain, Son like Parents, Shame on you

Usijigeuze mhariri hapa Jf kwa kuleta povu na taka za mawazo yako

Kwani Wewe Mtoto wa mwenzio akiwa ' amejinyea ' na ukawa unamwambia akajiswafi huwa unakuwa ni Baba halisi wa yule Mtoto? You're very Stupid pamoja na hao Watu watatu waliokupa ' Likes ' hapo. Hivi pale ambapo huwa tunakosoa labda Uandishi fulani katika Magazeti au Utangazaji fulani katika Redio na Runinga sisi huwa tunakuwa Wahariri? Sina haja ya kuwa Mhariri ( Moderator ) na sitokuwa hivyo kwani waliopo wanafanya Kazi yao vyema tu isipokuwa kama Member tu wa kawaida nadhani pia kama ' mchangiaji ' humu basi nina haki kama pia siyo wajibu wa kurekebisha pale mmoja anapokengeuka / anapokosea na nilidhani ungenipongeza katika hili ila umeshindwa kwakuwa yawezekana umezaliwa na ' Wazazi ' hopeless ambao wametuletea pia ' Toto ' hopeless duniani.

Najua utarudi tena na ndiyo nakusubiri kwa hamu sana kwani inaonekana ulikuwa ukinitafuta na kuwashwawashwa nami siku nyingi.

Cc: Salary Slip
DOUGLAS SALLU
MCHAU G
 
Back
Top Bottom