Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai. Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo? TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi? Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Mapambano nikwakila nyanja hivyo mwakidondo usishangae sana!
Uhuni walioufanya Ndugai na Mama yako Makinda umefanya maisha ya watanzania wengi zaidi kuwa magumu. Wamekataa kuwasaidia akina Mama wenzio wa Dar wanaonunua maji hadi buku kwa ndoo, wamezuia hoja ya kuibana NECTA isichakachue matokeo ya mitihani na hivyo kuzidi kuongeza mbumbumbu kwenye jamii. Madhara ya maamuzi ya hao ndugu zako Makinda na Ndugai ni makubwa kuliko hata matusi au usumbufu watakaoupata wa message kutoka CDM.
Open your eyes we mwanamama, sio kwa vile haulipi kodi usionee uchungu jinsi kodi zetu zinavyotafunwa na mashirika ya UMA ambayo Zitto amezuiwa kuyasimamia ili MACCM ya siphon hela za mashirika ya uma kujirudisha madarakani

inaonekana uwezo wako mdogo wa kufikiriNimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai. Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo? TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi? Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika. Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama? Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!
Mkuu Mwakidondo hajapinga madai ya CDM wala kwa namna yoyote hajamtetea spika na naibu wake ila kahoji kuwekwa hadharani namba zao kwa lengo la kuhamasisha watu wazitumie. Vee uva wimuhonge wiliga umgosi muyago utije mkimama!
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai. Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo? TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi? Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Uongozi ni JALALA, takataka zote zinatupiwa hapo. Kwa maana hiyo kama wao wamekubali kuwa viongozi maana yake wamekubali kuwa jalala. Ni heri watukanwe na watu wanaodai haki ya kuwa na bunge linalotenda haki bila kujali vyama vya siasa kuliko kusifiwa na mafisadi waliotafuna hii nchi hadi wamesababisha hospitali hazina dawa.
Naunga mkono hoja ya kutoa namba za simu za hawa wabaka demokrasia na kukulaani wewe mnywa viloba vya Malawi aina ya double punch. Mi sikuwa najua kama ni Mwanaume na nilidhani wewe ni mwanamama baada ya kuangalia maudhui ya uzi wako
Nimeshangazwa sana jana na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA waliohutubia katika mkutano wao wa Temeke kuweka hadharani namba za simu za waheshimiwa Anne Makinda na Job Ndugai.
Pamoja na kutoa namba hizo wamewataka wafuasi wao kuwapigia waheshimiwa hao au kuwatumia sms za kuwalaani kwa "kuonea wabunge wa upinzani bungeni" halafu eti wanawaambia wasitukane katika simu na sms watakazotuma kwa vile simu zao zimesajiriwa hivyo wakitukana watakamatwa.
Hili jambo linaonyesha kiwango cha juu kabisa cha irresponsibility waliyonayo viongozi wa CHADEMA kwao matusi si tatizo bali tatizo ni kuwa namba zimesajiriwa hivyo wakitukana watajulikana na kukamatwa. Tukirejea kwenye hili la kutoa namba ya simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake, wajuzi wa sheria wanisaidie ni halali kweli kufanya hivyo?
TCRA mnasemaje hakuna kipengere cha privacy clause katika matumizi ya simu za mkononi chenye lengo la kumlinda mtumiaji wa simu dhidi ya kero na vitendo vingine vya kihuni anavyoweza kufanyiwa kupitia simu yake ya mkononi?
Kimsingi walichofanya viongozi wa CHADEMA jana ni kuwaagiza wafuasi wao wawabughudhi ikiwa pamoja na kuwatukana viongozi hao wawili wa muhimili muhimu wa bunge. Please CDM leaders come to your senses!
Halafu mkuu mbona jazba nyingi hivyo? mimi nilichoongelea ni hiyo busara ya kutoa namba za watu hadharani na kuwaagiza watu wazitumie kuwatumia sms wahusika.
Una uhakika gani kama wote waliopata namba hizo watazitumia kulingana na lengo kusudiwa? Hudhani kuwa miongoni mwa waliozipata namba hizo wapo wanaofikiri kwa kuongozwa na viroba kama wewe ambaye unathubutu kuniita mjomba wako mwanamama?
Sina ukaribu wala mawasiliano yoyote na waheshimiwa hao lakini sihitaji kuwa mrithi wa almaruhum sheikh yahya kutabiri kuwa zaidi ya 60% ya smswalizokwisha pokea na watakazopokea zitakuwa za matusi. Hoja kwamba namba zao zipo kwenye website ya bunge haina mashiko kwani tunachojadili hapa ni namba hizo kufanyiwa promotion bila ridhaa ya wahusika si sahihi. Wake up lilefu vee!!