RaisMtarajiwa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 704
- 65
Wewe mwehu kaa kmya'ACT itachukua nafasi ya chadema hapo
Mkuu chalinze vipi,je hii nayo unaikumbuka?.Pesa zina mwisho wake, huwezi kununua watanzania wote, kama ndiyo hivyo kwanini wote wasipate maendeleo?
Hatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wameiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014
viva ma comrade vivaaaaaaaa, hadi abaki dj zero peke yake pale ufipa, chezea kinana weyeeeeHatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wameiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014
Hao wamejiuza kwa njaa zao.