Viongozi wa CCM, tawi UK

Viongozi wa CCM, tawi UK

Wakereketwa ccm

New Member
Joined
Jul 7, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa UK ,hasa juu ya viongozi wa CCM tawi UK,Txt msg imetumwa jana

"Siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa miaka 13 na kwenda dodoma kisa eti kaahiwa ubunge na u dc na kigogo ikulu.hivi ccm wanalijua hilo,kwamba yeye keshaula wengine walie tu.ama kweli chama kina wenyewe,hata siri hamna kama mnampa mtu cheo ,uk yote inajua mumewe avyotamba na kuonyesha watu text aliyotumiwa na Rais,mmm duniani kuna mambo"

Hapo katikati ndiyo msg iliyosambaa jana kabla ya watu wachache kutoka UK walioteuliwa kwenda Chimwaga kwa ajili ya mkutano wa ccm,Wadau wenzangu Tanzania imefikia mtu kutoka UK kwenda Tanzania ili kwamba akapate wadhifa.Je jopo la wanasiasa katika jambo forum manasemaje?kwa sababu hakuna kitu alichofanya katibu tangu achukue uongozi amebakia kujivuna tu.Je mheshiwa anaangalia nini katika kuwapatia post?Pia ccm london /UK imekufa kabisa wamebakia wa kuokoteza Weka kwenye ulingo wa siasa.Kumbukeni Katibu wa CCM UK ndiye amepewa offer na kigogo wa serikali
 
Mimi ninashangaa hivi vyama vya siasa huku ughaibuni vinawafaa nini wanachama wake na wa Tanzania kwa ujumla. Ingekiúwa Watanzania wanaoishi ughaibuni wangekuwa na haki ya kupiga kura, ningeweza kusema angalau wanajiweka sawa na vyama vyao na kupata wanachama wa ughaibuni wengi ili wachangie katika ushindi. Lakini hali sio kama ilivyo, Watanzania waliopo ughaibuni wamenyimwa haki ya kupiga kura. Hii ina maana kuwa wame enguliwa kutoka katika maisha ya nyumbani Tanzania. Binafisi ninaona kuwa vyama hivi vinawanufaisha viongozi wa matawi hayo kwa mategemeo ya kupata wadhfa baadae pindi watakaporejea Tanzania.
 
Hao viongozi ni kina nani? Majina itasaidia labda pa kuanzia otherwise inaweza kuwa ni majungu!
 
Wakereketwa ccm
Junior Member

Join Date
Wed Jul 2010
Posts
2

Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power
0

My Take: Waliotumwa siku zote huwa wanajulikana kirahisi sana.
 
Hao viongozi ni kina nani? Majina itasaidia labda pa kuanzia otherwise inaweza kuwa ni majungu!

Dr kwa kusoma "between the lines" nadhani anayezungumziiwa hapa ni binti mmoja mrembo anaitwa Susan Mzee ambaye kuna tetesi kwamba ataukwaa Ubunge wa kuteuliwa au ukuu wa wilaya kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika tawi la CCM UK.
 
Yule mumewe Susan kaacha zile kazi zake za ulinzi? sasa kama mkewe akiukwaa uheshimiwa naona atakuwa kama Sharif Maajar (Majaliwa)
 
Kumbe kuuza sura kwa wazee na mizimu ya CCM kunalipa! teh teh teh teh. Kuna ule usemi kula nawe uliwe...sasa mumewe awe tayari kumegewa nakuwa pumziko la wakulu!

Dr kwa kusoma "between the lines" nadhani anayezungumziiwa hapa ni binti mmoja mrembo anaitwa Susan Mzee ambaye kuna tetesi kwamba ataukwaa Ubunge wa kuteuliwa au ukuu wa wilaya kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika tawi la CCM UK.
 
Kuna mzee mmoja mke wake alimwambia anakwenda kugombania ubunge mambo yalikuwa sio shwari, mimi nilimwona yuko sawa kutokana na mambo yanayoendelea Dodoma...Mume wa katibu wa CCM hiyo text labda na kitako alikalia.Hii ni kulilia uzezeta.
 
Mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa UK ,hasa juu ya viongozi wa CCM tawi UK,Txt msg imetumwa jana

"Siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa miaka 13 na kwenda dodoma kisa eti kaahiwa ubunge na u dc na kigogo ikulu.hivi ccm wanalijua hilo,kwamba yeye keshaula wengine walie tu.ama kweli chama kina wenyewe,hata siri hamna kama mnampa mtu cheo ,uk yote inajua mumewe avyotamba na kuonyesha watu text aliyotumiwa na Rais,mmm duniani kuna mambo"

Hapo katikati ndiyo msg iliyosambaa jana kabla ya watu wachache kutoka UK walioteuliwa kwenda Chimwaga kwa ajili ya mkutano wa ccm,Wadau wenzangu Tanzania imefikia mtu kutoka UK kwenda Tanzania ili kwamba akapate wadhifa.Je jopo la wanasiasa katika jambo forum manasemaje?kwa sababu hakuna kitu alichofanya katibu tangu achukue uongozi amebakia kujivuna tu.Je mheshiwa anaangalia nini katika kuwapatia post?Pia ccm london /UK imekufa kabisa wamebakia wa kuokoteza Weka kwenye ulingo wa siasa.Kumbukeni Katibu wa CCM UK ndiye amepewa offer na kigogo wa serikali

Angekuwa ndiyo my wife wako kapata chansi ya kupigiwa simu na mkuu wa kaya aje fasta dodoma - ungemzuia?
 
Hii si jambo forum, besides forum hii si ya wana ccm. Na ninyi hamna kazi kweli, uko nchi za watu badala ya kutafuta upunguze umaskini wa babako aliyeko mwanarumango bado hata huko nje mliko mnang'ang'ana na ccm!!!!!!! phewwwee!!!!
 
Huyu bibie ni jamvi la vilaza na wasanii wa SISIEM.
Huko Reading wanamjua vizuri,amewatumia vizuri hawa viongozi wa serikali na SISIEM.

Huyu mume wake huko Reading wanamuhurumia jinsi huyu binti anavyofanya mambo.
 
Na hao wanaume walioenda wameahidiwa nini? Tunapenda sana kuwachafua dada zetu, sijui kwanini?
 
Kumbe kuuza sura kwa wazee na mizimu ya CCM kunalipa! teh teh teh teh. Kuna ule usemi kula nawe uliwe...sasa mumewe awe tayari kumegewa nakuwa pumziko la wakulu!

Mhhhhh! Dr miye sitii neno hapo lol!, ndiyo maana wanaume wengine wanakuwa wagumu sana kuwaruhusu wake zao kwemye hizi kazi za "wakulu" wa nchi. Inadaiwa binti alishachukua uraia wa kwa mama kama mambo yatamnyookea kama tetesi zinavyodai basi ataukoromea uraia wa kwa mama na kuupandisha chati ule wa bongo.
 
Unajua tatizo kubwa ni huku kusherehekea kwetu na kushabikia mambo ya hao wanaozungusha biashara ya kufungua matawi ya chama tena kwa kutumia ofisi za Ubalozi za serikali kwa gharama ya kodi zetu hata tusio wana CCM. kwanza hebu mtu angeniambia hivi profile ya hao watu ni nini? hivi kwa nini watanzania hata tukiishi nje bado tunabeba upumbavu wetu badala ya kujifunza maendeleo? mimi sijaona wakenya wakitangaza kuunda tawi la PNU ama KANU ama ODM Helsinki, London, Leicester badala yake naona wakiita mikutano ya umoja wa wakenyel umoja wa wa Ethiopia waishia huko na huko. Is it true that wengi wa hao wanaojipa hizo shughuli wakiwemo spouses wa mabalozi wenyewe walioko huko ni watu waliochoka wengine wakibebwa na vyeo vya wake zao. Hili jambo tunalichekea lakini linaua sana umoja wa Watanzania na ndilo litakalosambaza chuki na vita wakati CCM itakapokuwa imeshamaliza kazi yake ya kutuingiza vitani. Acha hao wakina mama waahidiwe u DC sasa kama kweli mtu ana sera huko nje anakimbiliaje UDC kwa mwendo wa kuvunja miguu? we are crawling too low jamani ama ni hiyo sera ya ingia uibe? dawa ni kuvunja system ya kifisadi tuone kama hawa watu watakua na nguvu za kufanya hivyo tena tunaendekeza ujinga na ushamba na njaa za ajabu. Nadhani tuanzie kwa michuzi kuacha kuwapa hizo cheap publicity badala yake akazanie kufanya editiing ya mambo anayoyaweka ikiwemo subbing ya vibandiko hata hivyo vya kiswahili itaboresha zaidi blog yako kaka yangu kuliko hivi vitu vingine unavyokimbizana navyo. Acha hao wenye kiherehere waletwe huku JF tuwashughulikie maana huku tunaweza ku comment pale ni kama sala lazima tuiache kama ilivyo tunawanyima haki ya feedback hawa watu na ndio maana wanaendeleza hii tabia chafu.
 
mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa uk ,hasa juu ya viongozi wa ccm tawi uk,txt msg imetumwa jana

"siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa miaka 13 na kwenda dodoma kisa eti kaahiwa ubunge na u dc na kigogo ikulu.hivi ccm wanalijua hilo,kwamba yeye keshaula wengine walie tu.ama kweli chama kina wenyewe,hata siri hamna kama mnampa mtu cheo ,uk yote inajua mumewe avyotamba na kuonyesha watu text aliyotumiwa na rais,mmm duniani kuna mambo"

hapo katikati ndiyo msg iliyosambaa jana kabla ya watu wachache kutoka uk walioteuliwa kwenda chimwaga kwa ajili ya mkutano wa ccm,wadau wenzangu tanzania imefikia mtu kutoka uk kwenda tanzania ili kwamba akapate wadhifa.je jopo la wanasiasa katika jambo forum manasemaje?kwa sababu hakuna kitu alichofanya katibu tangu achukue uongozi amebakia kujivuna tu.je mheshiwa anaangalia nini katika kuwapatia post?pia ccm london /uk imekufa kabisa wamebakia wa kuokoteza weka kwenye ulingo wa siasa.kumbukeni katibu wa ccm uk ndiye amepewa offer na kigogo wa serikali

upuuzi mtupu!!!!
 
Mimi ninashangaa hivi vyama vya siasa huku ughaibuni vinawafaa nini wanachama wake na wa Tanzania kwa ujumla. Ingekiúwa Watanzania wanaoishi ughaibuni wangekuwa na haki ya kupiga kura, ningeweza kusema angalau wanajiweka sawa na vyama vyao na kupata wanachama wa ughaibuni wengi ili wachangie katika ushindi. Lakini hali sio kama ilivyo, Watanzania waliopo ughaibuni wamenyimwa haki ya kupiga kura. Hii ina maana kuwa wame enguliwa kutoka katika maisha ya nyumbani Tanzania. Binafisi ninaona kuwa vyama hivi vinawanufaisha viongozi wa matawi hayo kwa mategemeo ya kupata wadhfa baadae pindi watakaporejea Tanzania.

You can catch a flight to Dar 2 days before election, vote on 10/31 and fly back to UK after casting your precious vote in the ballot. That's what a lot of us (CCM supporters) do
 
Back
Top Bottom