Viongozi wa CCM, tawi UK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CCM, tawi UK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wakereketwa ccm, Jul 8, 2010.

 1. W

  Wakereketwa ccm New Member

  #1
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 7, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa UK ,hasa juu ya viongozi wa CCM tawi UK,Txt msg imetumwa jana

  "Siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa miaka 13 na kwenda dodoma kisa eti kaahiwa ubunge na u dc na kigogo ikulu.hivi ccm wanalijua hilo,kwamba yeye keshaula wengine walie tu.ama kweli chama kina wenyewe,hata siri hamna kama mnampa mtu cheo ,uk yote inajua mumewe avyotamba na kuonyesha watu text aliyotumiwa na Rais,mmm duniani kuna mambo"

  Hapo katikati ndiyo msg iliyosambaa jana kabla ya watu wachache kutoka UK walioteuliwa kwenda Chimwaga kwa ajili ya mkutano wa ccm,Wadau wenzangu Tanzania imefikia mtu kutoka UK kwenda Tanzania ili kwamba akapate wadhifa.Je jopo la wanasiasa katika jambo forum manasemaje?kwa sababu hakuna kitu alichofanya katibu tangu achukue uongozi amebakia kujivuna tu.Je mheshiwa anaangalia nini katika kuwapatia post?Pia ccm london /UK imekufa kabisa wamebakia wa kuokoteza Weka kwenye ulingo wa siasa.Kumbukeni Katibu wa CCM UK ndiye amepewa offer na kigogo wa serikali
   
 2. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  I'm confused - Totally !
   
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mimi ninashangaa hivi vyama vya siasa huku ughaibuni vinawafaa nini wanachama wake na wa Tanzania kwa ujumla. Ingeki├║wa Watanzania wanaoishi ughaibuni wangekuwa na haki ya kupiga kura, ningeweza kusema angalau wanajiweka sawa na vyama vyao na kupata wanachama wa ughaibuni wengi ili wachangie katika ushindi. Lakini hali sio kama ilivyo, Watanzania waliopo ughaibuni wamenyimwa haki ya kupiga kura. Hii ina maana kuwa wame enguliwa kutoka katika maisha ya nyumbani Tanzania. Binafisi ninaona kuwa vyama hivi vinawanufaisha viongozi wa matawi hayo kwa mategemeo ya kupata wadhfa baadae pindi watakaporejea Tanzania.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hao viongozi ni kina nani? Majina itasaidia labda pa kuanzia otherwise inaweza kuwa ni majungu!
   
 5. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  My Take: Waliotumwa siku zote huwa wanajulikana kirahisi sana.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,879
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Dr kwa kusoma "between the lines" nadhani anayezungumziiwa hapa ni binti mmoja mrembo anaitwa Susan Mzee ambaye kuna tetesi kwamba ataukwaa Ubunge wa kuteuliwa au ukuu wa wilaya kutokana na kazi nzuri aliyoifanya katika tawi la CCM UK.
   
 7. Lyampinga

  Lyampinga Senior Member

  #7
  Jul 8, 2010
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Yule mumewe Susan kaacha zile kazi zake za ulinzi? sasa kama mkewe akiukwaa uheshimiwa naona atakuwa kama Sharif Maajar (Majaliwa)
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kumbe kuuza sura kwa wazee na mizimu ya CCM kunalipa! teh teh teh teh. Kuna ule usemi kula nawe uliwe...sasa mumewe awe tayari kumegewa nakuwa pumziko la wakulu!


   
 9. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Kuna mzee mmoja mke wake alimwambia anakwenda kugombania ubunge mambo yalikuwa sio shwari, mimi nilimwona yuko sawa kutokana na mambo yanayoendelea Dodoma...Mume wa katibu wa CCM hiyo text labda na kitako alikalia.Hii ni kulilia uzezeta.
   
 10. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Angekuwa ndiyo my wife wako kapata chansi ya kupigiwa simu na mkuu wa kaya aje fasta dodoma - ungemzuia?
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hii si jambo forum, besides forum hii si ya wana ccm. Na ninyi hamna kazi kweli, uko nchi za watu badala ya kutafuta upunguze umaskini wa babako aliyeko mwanarumango bado hata huko nje mliko mnang'ang'ana na ccm!!!!!!! phewwwee!!!!
   
 12. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu bibie ni jamvi la vilaza na wasanii wa SISIEM.
  Huko Reading wanamjua vizuri,amewatumia vizuri hawa viongozi wa serikali na SISIEM.

  Huyu mume wake huko Reading wanamuhurumia jinsi huyu binti anavyofanya mambo.
   
 13. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Na hao wanaume walioenda wameahidiwa nini? Tunapenda sana kuwachafua dada zetu, sijui kwanini?
   
 14. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Muulize Sofia Simba
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,879
  Likes Received: 83,359
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh! Dr miye sitii neno hapo lol!, ndiyo maana wanaume wengine wanakuwa wagumu sana kuwaruhusu wake zao kwemye hizi kazi za "wakulu" wa nchi. Inadaiwa binti alishachukua uraia wa kwa mama kama mambo yatamnyookea kama tetesi zinavyodai basi ataukoromea uraia wa kwa mama na kuupandisha chati ule wa bongo.
   
 16. n

  nndondo JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Unajua tatizo kubwa ni huku kusherehekea kwetu na kushabikia mambo ya hao wanaozungusha biashara ya kufungua matawi ya chama tena kwa kutumia ofisi za Ubalozi za serikali kwa gharama ya kodi zetu hata tusio wana CCM. kwanza hebu mtu angeniambia hivi profile ya hao watu ni nini? hivi kwa nini watanzania hata tukiishi nje bado tunabeba upumbavu wetu badala ya kujifunza maendeleo? mimi sijaona wakenya wakitangaza kuunda tawi la PNU ama KANU ama ODM Helsinki, London, Leicester badala yake naona wakiita mikutano ya umoja wa wakenyel umoja wa wa Ethiopia waishia huko na huko. Is it true that wengi wa hao wanaojipa hizo shughuli wakiwemo spouses wa mabalozi wenyewe walioko huko ni watu waliochoka wengine wakibebwa na vyeo vya wake zao. Hili jambo tunalichekea lakini linaua sana umoja wa Watanzania na ndilo litakalosambaza chuki na vita wakati CCM itakapokuwa imeshamaliza kazi yake ya kutuingiza vitani. Acha hao wakina mama waahidiwe u DC sasa kama kweli mtu ana sera huko nje anakimbiliaje UDC kwa mwendo wa kuvunja miguu? we are crawling too low jamani ama ni hiyo sera ya ingia uibe? dawa ni kuvunja system ya kifisadi tuone kama hawa watu watakua na nguvu za kufanya hivyo tena tunaendekeza ujinga na ushamba na njaa za ajabu. Nadhani tuanzie kwa michuzi kuacha kuwapa hizo cheap publicity badala yake akazanie kufanya editiing ya mambo anayoyaweka ikiwemo subbing ya vibandiko hata hivyo vya kiswahili itaboresha zaidi blog yako kaka yangu kuliko hivi vitu vingine unavyokimbizana navyo. Acha hao wenye kiherehere waletwe huku JF tuwashughulikie maana huku tunaweza ku comment pale ni kama sala lazima tuiache kama ilivyo tunawanyima haki ya feedback hawa watu na ndio maana wanaendeleza hii tabia chafu.
   
 17. J

  Jekyll+Hyde Member

  #17
  Jul 10, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ME TOO :A S-eek::A S-eek:
   
 18. J

  Jekyll+Hyde Member

  #18
  Jul 10, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  upuuzi mtupu!!!!
   
 19. J

  Jekyll+Hyde Member

  #19
  Jul 10, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TEMBELEA HAPA Chama Cha Mapinduzi - Tawi la London - Uingereza , VILAZA WENGI TU, KATI YAO NDIO ALIYEANDIKA HIYO TEXT MESSAGE YA HUYO DADA SUSAN MZEE YA KUMKASHFU, WAMESHATINGA CHAMWINO KUENDELEZA MAJUNGU :pound: :pound: :pound:
   
 20. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You can catch a flight to Dar 2 days before election, vote on 10/31 and fly back to UK after casting your precious vote in the ballot. That's what a lot of us (CCM supporters) do
   
Loading...