Viongozi wa BAVICHA wafukuzwa Gereza la Ukonga

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Leo Mei 14, 2021, Eid Mosi, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) likiongozwa na Mwenyekiti. John Pambalu wamefika Gereza la Ukonga kuwaona Masheikh wa Uamsho.

Askari Magereza wamewazuia kuwaona kwa kile walichodai maelekezo kutoka juu.

Mwenyekiti ameambatana na Mwenezi Twaha Mwaipaya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Ilala, Frank Waise pamoja na CHASO Mkoa wa Dar es salaam.

=====
My take.

Mpunguze viherehere kwa mambo msiyoyajua.
 
Wasinge publish wangewaona labda ila kutangaza vile sidhani wanajua mnataka political mileage ....pia ukute kuna watu wameshajiandikisha plus picha zao na baruaserikali mitaa wanazo ndio wanawaona.....ila naamini soon warapata haki yao mama ameanza nao ....kesi yao inasikilizwa speedsana sasa.....ni suala la muda tu warakuwa huru haki yao watapata
 
Yapi tusiyoyajua,au ubambikaji wa kesi.Na kujaa kwa mahabusu,ama nawe ni mshiriki katina ujazaji magereza ama ubambikaji kesi,utetezi wako tafadhali kama hautajali.
 
Na kapambahu kalikuwepo
 
The expected, nilijua tu kuwa hilo halliwezekani. Lakini limeandikwa kwenye historia yetu
 
Wewe ndiyo kwenye kihelehele,unashinda kuleta taalifa za Buhigwe na Mhambwe,umekalia kuchunguzwa wezio,

Angalia utaolewa na Chadema.
 

..kitendo cha askari magereza kuwafukuza ndio kimewapa Bavicha pointi za bure za kisiasa. 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…