Viongozi wa BAVICHA wafukuzwa Gereza la Ukonga

Leo Mei 14, 2021, Eid Mosi, Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) likiongozwa na Mwenyekiti Mhe. John Pambalu wamefika Gereza la Ukonga kuwaona Masheikh wa Uamsho. Askari Magereza wamewawazuia kuwaona kwa kile walichodai maelekezo kutoka juu.

Mwenyekiti ameambatana na Mwenezi Twaha Mwaipaya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Ilala Frank Waise, pamoja na CHASO Mkoa wa Dar es salaam.

My take.

Mpunguze viherehere kwa mambo msiyoyajua
Hata hivyo nitashangaa kama waliweza kuruhusiwa kuingia magereza mengine kufanya uchochezi wao. Kiutaratibu hawakua na haki kupewa kibali kuingia gereza lolote kupeleka siasa zao za uchochezi huko. Waziri mwenye dhamana yafaa afuatilie kujua kama waliweza kuingia magereza zipi kwa utaratibu gani ili achukue hatua zinazostahili.
 
Kweli kabisa
 
Nimefurahi uliposema neno uchochezi, chini ya siasa za yule dhalimu aliyeko motoni, kusema ukweli dhidi ya serikali ilikuwa ni uchochezi. Na sasa nimejua hao bavicha wanasema ukweli.
 
mbwa hawa wakome
Leo Mei 14, 2021, Eid Mosi, Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) likiongozwa na Mwenyekiti Mhe. John Pambalu wamefika Gereza la Ukonga kuwaona Masheikh wa Uamsho. Askari Magereza wamewawazuia kuwaona kwa kile walichodai maelekezo kutoka juu.

Mwenyekiti ameambatana na Mwenezi Twaha Mwaipaya, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Ilala Frank Waise, pamoja na CHASO Mkoa wa Dar es salaam.

My take.

Mpunguze viherehere kwa mambo msiyoyajua.
 
Askari Magereza wanatumika kama Kondomu au Toilet paper. Walimpiga Halima Mdee na genge lake leo hii ni wabunge.
Waliwapiga kina Waitara, Katambi na Silinde leo ni Mawaziri.

Wao wataendelea kuvaa uniform zilizobabuka na viatu vilivyokaa upande, na siku wakistaafu inachukua miaka 7 kupata pensheni.

Kuna kazi nyingine zina laana.

Hapo hawajapanda vyeo wala kupandishiwa mishahara kwa miaka 6.
 
Hii ndiyo sababu ya bavicha kufukuzwa?
 
Hapo mwenye kiherehere ni nani?Weye fisiemu uliyeenda kuchungulia kama makamanda watawaona wazee wa uamsho au ?
IMG-20210514-WA0036.jpg
 
Back
Top Bottom