BAVICHA Wafika gereza la Ukonga kumuona Freeman Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,169
217,115
Baada ya kuzunguka maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya Kongamano la Katiba Mpya , Viongozi wa Bavicha leo wamefika gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Mbowe .

Vijana hawa ambao ndio mashujaa wa nchi kwa sasa wamelazimika kusafiri usiku kucha ili kuwahi muda halali wa kusalimia Wafungwa Gerezani .

Baada_ya_Jana_kufanya_Kongamano_la_KATIBA_MPYA_Jimbo_la_Magu_Mkoa_wa_Mwanza%2C_ilitulazimu_kus...jpg
 
Acha kupotosha,nchi gani waliozunguka nchi nzma!?, andika realistic issues sio ,kunogesha stor kwa kutudanganya,not fair!!
 
Baada ya kuzunguka maeneo kadhaa ya nchi kwa ajili ya Kongamano la Katiba Mpya , Viongozi wa Bavicha leo wamefika gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Mbowe .

Vijana hawa ambao ndio mashujaa wa nchi kwa sasa wamelazimika kusafiri usiku kucha ili kuwahi muda halali wa kusalimia Wafungwa Gerezani .

Kwenye hayo makongamano waliyofanya wamepata nini labda tuambie maana majority ya watanzania wako busy na kazi zao hiyo tamaa yenu ya kuingia ikulu itawatokea puani kama anavyosota gaidi wenu mbowe atasota humo zaidi ya miaka mitatu magaidi Yao kitanzi tu dadek
 
Huo ndio mfano wa kuigwa wa vijana wa kweli!
 
Kwenye hayo makongamano waliyofanya wamepata nini labda tuambie maana majority ya watanzania wako busy na kazi zao hiyo tamaa yenu ya kuingia ikulu itawatokea puani kama anavyosota gaidi wenu mbowe atasota humo zaidi ya miaka mitatu magaidi Yao kitanzi tu dadek
Mbona sioni wamevaa Tshirt za kudai katiba mpya kulikoni ?
 
Acha kupotosha,nchi gani waliozunguka nchi nzma!?, andika realistic issues sio ,kunogesha stor kwa kutudanganya,not fair!!
Huyo bibi anasifiaga kishamba kweli mikutano waliyofanya haifiki hata kumi lakini ansema wamezunguk nchi nzima njaa shida Sana fanya kazi
 
Back
Top Bottom