Viongozi wa afrika na ushoga

Viongozi wa afrika na ushoga

Joined
Jan 15, 2013
Posts
77
Reaction score
28
Viongozi wengi wa Afrika wanaonekana kuwa na msimamo mmoja katika kupinga swala la Usoga katika nchi zao, isipokuwa wachache kama Joyce Banda wa Malawi katika kipindi cha uongozi wake nae ni baada ya kutishiwa kuwekewa vikwazo kadhaa, huenda wako wengine wenyekuunga mkono swala hili nami siwajui,

Kinacho nishangaza,

Kwanini hawaungani mkono pale ambao mwenzao, mwenye msimamo sawa na wao, anapo wekewa vikwazo eti kwa kukataa ushoga katika taifa lake(Yowel Musseven - Uganda), humuacha akiangamia peke yake.

Ninavyo fahamu "Usiku hubaki kuwa usiku hata kama tukiwasha taa, na mchana hubaki kuwa mchana hata kama tutafumba macho"

Kudhihiri hili ni vigumu kama viongozi wa Afrika watakaa kimya pale ambapo mwenzao anasurubiwa, kwani ukimya wao unaashiria kukubali usiku huwa nchana kwasababu taa imewashwa.

Waafrika tunanini?
 
Mkuu, kuna sababu kama mbili tatu hivi. Kwanza kutofautiana ki siasa, uoga kwa jamaa wa magharibi na unafiki.
Museven kitu alichokiongea ni sahihi sana lakini wengine tayari walisha muona kama dictator anang'ng'ania madaraka. Sasa hata kitu chake sahihi wanaogopa kumuunga mkono kutokana na kwamba anaonekana hana demokrasia.
Viongozi kama mugabe he is a real African leader, lakini unaona wanamtenga sana. Anatetea wazawa na mali zao lakini badala yake viongozi hao hao waafrika wenzake wanamuona hafa eti wasikolofishane na marekani/ulaya kwasababu wao hawamtaki.
 
That is the sin that will eat every single one of as little by little as per devide and rule policy, ohhh God help us!
 
Sidhani kama ushoga ndio unaotufanya tuwe na umasikini uliotukuka...labda hawaoni kuwa ni issue ya maana kuliko nyingine zinazosumbua bara la Afrika....

That is the sin that will eat every single one of as little by little as per devide and rule policy, ohhh God help us!
 
BTW, homosexuality is illegal in 38 out of 54 countries, most of them former British colonies (a very interesting observation. Former French colonies seem to be a bit lenient)
 
Most of them ni illegal kisheria tu; hakuna anaye implement hizo sheria

Back
Top Bottom