Iq and level of education are two different things, knowledge can be easily attained by getting high quality education or pursuing degrees in school. on other hand, IQ is measured according to the actual capacity of the brain to process various types of information.
Is true that the people who live in countries with poor education quality automatically have low IQ.
Kwa tz ni wale tu wanaotafuta elimu nje ya madarasa na wanatoka sehemu zenye lishe nzuri ndio wanauwezo wa kufikiria, mtu aliyesoma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu akapata kazi serekalini hawezi kuwa na uwezo wa kuchambua vitu kwani amekaririshwa tu, makampuni ya nje yakija hawa hawezi kupata kazi, wasaini mikataba hawajui imeandikwa nini, ukiwahonga pesa kidogo wanakupa nchi, ukiwaambia ccm ni mbaya hafikiri ni kwani ni mbaya, hawajua hata maisha wanayoishi ni mabaya na hatari, wao wanaona kuendesha gari ni fahari lakini bahati mbaya wakapaja ajali hawataokelewa na dawa hakuna na muda wa kwenda india hakuna watakufa tu, hawa kama ni mainjinia hawawezi kupanga miji, kubuni machine, na vifaa vya kusukuma maendeleo nchi, angalia waliokimbilia nje ya nchi hawawezi kusadia familia nyumbani na nchi kwani hawawezi hata kuongoe kingereza vizuri na elimu mbovu hivo hawapati kazi nzuri, Ni somo pana na linahitaji kufundishwa sana ili wajue ushabiki wao kwa ccm unawathiri vipi maisha yao, familia zao na nchi kwa ujumla.