Viongozi UKAWA acheni danganya toto

Viongozi UKAWA acheni danganya toto

Uloi nga mâché68

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
486
Reaction score
153
Baada ya kufanya maamuzi mabovu yaliyosababisha kushindwa vibaya Uchaguzi wa Rais, ni Wakati sasa wa Viongozi wa UKAWA kujiuzulu kwa kuwa uteuzi wenu wa Mgombea asiye na sifa ndio umesababisha haya yote.

Kwa kutufanya mazuzu, mlianza kutengeneza mazingira ya kutuaminisha kwamba kura zitaibiwa na kutuagiza tulinde kura hali mkijua kwamba mita 200 tusingeweza kuona lolote hata kama kungekuwa na wizi huo! Pia mkadai kura zinazotangazwa na Tume sio za kweli bila kutuonesha hizo mnazodai ni halali na zikiwa zimesainiwa na Mawakala halali.

Hilo nalo ni changa la macho. Ni busara tu kwamba mnapaswa kukubali kwamba mlijitengenezea wenyewe mazingira ya kushindwa kwa kuacha mbachao kwa msala upitao.

Leo tena mnajifanya kususia sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya Magufuli badala ya ninyi kujiuzulu. Juzi mkatuagiza tuandamane tukakataa mpaka mtakapotangulia mbele ya maandamano tupigwe wote. Si mlituambia mmebadili gia angani?

Acheni danganya toto na msipoteze muda wetu JIUZULUNI HARAKA!
 
Tatizo halikuwa team ukawa bali refa. Viva ukawa.
 
Ni mjinga na mpumbavu pekee ndo atakae amini ukawa walishinda nafasi ya urais kwanza kwa majimbo yepi ya ubunge watu wamejazwa upepo nao bila kutafakari eti oooh tumeibiwa kura usanii tu hayo matokeo yao mbona hawayaweki hadharani yaliyosainiwa na mawakala wao? Changa la macho tu wasuse weeee lakini Magufuli ndo rais wao.
 
Nyie sisiemu imewadumaza sana ndio maana hata hesabu ndogo tuu inawashinda.Hivi hata ktk majumuisho ya kura zote hukuona hesabu inazidi?duu kweli tz tutaendelea kuwa maskin tuu.
 
Hebu acheni lopolopo angalieni raisi wa africa leo anaapishwa..... Nchini tz baadhi ya searh engine kama hotboot.. Na google zitasimama kwa mda wageni zaidi ya 40 washafika wakiwemo maraisi', na wakilish mbalimbali watakuwepo
 
Nyie sisiemu imewadumaza sana ndio maana hata hesabu ndogo tuu inawashinda.Hivi hata ktk majumuisho ya kura zote hukuona hesabu inazidi?duu kweli tz tutaendelea kuwa maskin tuu.

Unazungumzia kula za urais cdm na ccm wapi zimezidi acha kukubali kudanganywa weka kura ulizodanganyika nikukosoe kama mwenzio mmoja alikuja jamvini kama wewe
 
Ni mjinga na mpumbavu pekee ndo atakae amini ukawa walishinda nafasi ya urais kwanza kwa majimbo yepi ya ubunge watu wamejazwa upepo nao bila kutafakari eti oooh tumeibiwa kura usanii tu hayo matokeo yao mbona hawayaweki hadharani yaliyosainiwa na mawakala wao? Changa la macho tu wasuse weeee lakini Magufuli ndo rais wao.
Ukikutwa unajumlisha kura ambazo matokeo yake ni tofauti na walivyopanga unakamatwa.
 
#Ujinga ni kusifia ccm wakati zaidi ya 50% ya wanafunzi wa vyuo vikuu wenye sifa wanakosa mikopo! hata kama wew hujasoma mtoto wako au wa ndugu yako ataathilika tu..
 
Uloi nga mâché68;14532173 said:
Baada ya kufanya maamuzi mabovu yaliyosababisha kushindwa vibaya Uchaguzi wa Rais, ni Wakati sasa wa Viongozi wa UKAWA kujiuzulu kwa kuwa uteuzi wenu wa Mgombea asiye na sifa ndio umesababisha haya yote. Kwa kutufanya mazuzu, mlianza kutengeneza mazingira ya kutuaminisha kwamba kura zitaibiwa na kutuagiza tulinde kura Hali mkijua kwamba mita 200 tusingeweza kuona lolote Hata Kama kungekuwa na wizi huo! Pia mkadai kura zinazotangazwa na Tume sio za kweli bila kutuonesha hizo mnazodai ni halali na zikiwa zimesainiwa na Mawakala halali. Hilo nalo ni changa la macho. Ni busara tu kwamba mnapaswa kukubali kwamba mlijitengenezea wenyewe mazingira ya kushindwa kwa kuacha mbachao kwa msala upitao. Leo tena mnajifanya kususia Sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya Magufuli badala ya ninyi KUJIUZULU. Juzi mkatuagiza tuandamane tukakataa mpaka mtakapotangulia mbele ya maandamano tupigwe wote. Si mlituambia mmebadili gia angani? Acheni danganya toto na msipoteze muda wetu JIUZULUNI HARAKA!

kampeni zimeisha, leo ana apishwa rais, wewe hacha usenge wako wa kichochozi. mbwa mkuu wee, huu ni muda wa kujena nchi siyo kuwanza kuwaeneza watu maneno
 
Wahuni tu hao sana sana walichoambulia ni kuchota mapesa kwa lowasa na kuyahamishia nje ya nchi. Hiyo ndio ilikuwa biashara yao lakini sio eti kabisa walikuwa na nia ya kwenda ikulu. Ikulu ni mahali patakatifu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mbowe and his crew must resign....... Uungwana ni vitendo
 
Chadema asilia tumeshasema viongozi wote wa ukawa mnatakiwa mjiuzuru mara moja. Hatuna muda wa kusubiri tafadhali mtusamehe tu
Na viongozi ambao mmetoka kwenye vyama vyenu tunawataka mrudi hukohuko msitujazie nzi. Mbatia nenda kaendeshe chama chako, ukapambane na viongozi wenzako waliokushtaki kwa wananchi. Babu Duni tafadhali rudi kwako cuf. Uchaguzi umekwisha. Tuacheni tujipange upya
 
Haya ndio mazuzu yaliyodanganywa na Mgombea Fulani kuwa Elimu itakuwa Bure mpaka Chuo Kikuu yakapoteza kura na kunywea Ada viroba yakiamini mtu wao anakwenda Ikulu! Ajabu yalipoambiwa yaliamini tu bila utafiti wa Nchi ambazo Elimu hutolewa Bure mpaka Chuo Kikuu na kutokana na Uchumi wa Nchi Hilo lingewezekanaje!

#Ujinga ni kusifia ccm wakati zaidi ya 50% ya wanafunzi wa vyuo vikuu wenye sifa wanakosa mikopo! hata kama wew hujasoma mtoto wako au wa ndugu yako ataathilika tu..
 
Uloi nga mâché68;14532173 said:
Baada ya kufanya maamuzi mabovu yaliyosababisha kushindwa vibaya Uchaguzi wa Rais, ni Wakati sasa wa Viongozi wa UKAWA kujiuzulu kwa kuwa uteuzi wenu wa Mgombea asiye na sifa ndio umesababisha haya yote. Kwa kutufanya mazuzu, mlianza kutengeneza mazingira ya kutuaminisha kwamba kura zitaibiwa na kutuagiza tulinde kura Hali mkijua kwamba mita 200 tusingeweza kuona lolote Hata Kama kungekuwa na wizi huo! Pia mkadai kura zinazotangazwa na Tume sio za kweli bila kutuonesha hizo mnazodai ni halali na zikiwa zimesainiwa na Mawakala halali. Hilo nalo ni changa la macho. Ni busara tu kwamba mnapaswa kukubali kwamba mlijitengenezea wenyewe mazingira ya kushindwa kwa kuacha mbachao kwa msala upitao. Leo tena mnajifanya kususia Sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya Magufuli badala ya ninyi KUJIUZULU. Juzi mkatuagiza tuandamane tukakataa mpaka mtakapotangulia mbele ya maandamano tupigwe wote. Si mlituambia mmebadili gia angani? Acheni danganya toto na msipoteze muda wetu JIUZULUNI HARAKA!

pole kwa ufinyu wa uelewa
hata kama ingekuaje kwa mfumo wa tume tuliyonayo upinzani kushika dola ni ngumu sana
mtabaki kulaumu viongozi tu lakini kumbe
tatizo ni tume
 
Ni mjinga na mpumbavu pekee ndo atakae amini ukawa walishinda nafasi ya urais kwanza kwa majimbo yepi ya ubunge watu wamejazwa upepo nao bila kutafakari eti oooh tumeibiwa kura usanii tu hayo matokeo yao mbona hawayaweki hadharani yaliyosainiwa na mawakala wao? Changa la macho tu wasuse weeee lakini Magufuli ndo rais wao.

nakubaliana nawe, kwa majimbo machache waliyopata ukawa ukilinganisha na CCM, ni dhahiri ukawa wameshindwa kura za uraisi. Tunawataka wasiwe na wivu wa ki*ke wakubali kushindwa wasipotoshe wananchi. Ushauri wa bure kwako waendelee tu kujenga chama chao kisayansi na waache ukanda na ukabila ktk chama chao. Waige mfano wa CCM pamoja ina madhambi yake lakini ni chama chenye mwelekeo wa kitaifa na kimeenea mpata kwenye grassroots. CCM ina wanachama 6Milllioni+ nchi nzima, kila mwanachama angetafuta watu wawili tu wa kuichagua CCM tayar CCM ilikuwa na kura 18million+. Hapa utaona hata kura 8million ambazo Magufuli amepata ni wazi kuna wana CCM hawakufanya kampeni au walihasi.
CCM ni chama dume ikijipanga vizur na kutumikia wananchi hakuna namna itatoka madarakani, upinzani uwepo kwa ajili ya kuipa changamoto bungeni. Kwa hiyo upinzani undeni chama kimoja tu badala ya kuwa na ma vyama mengiii na mkijenge kiwe na mtandao mpana mpaka vitongojini na muodoe ukabla na ukanda kwenye vyama vya upinzani alafu ndo mshindane na CCM. Kinyume cha hapo mtakuwa mnashindwa tu hamna namna ingine
 
Unazungumzia kula za urais cdm na ccm wapi zimezidi acha kukubali kudanganywa weka kura ulizodanganyika nikukosoe kama mwenzio mmoja alikuja jamvini kama wewe

Wew sio mfatiliaji kbs ulisha lishwa sumu ya sisiem.ngoja nikutumie uone.
 
pole kwa ufinyu wa uelewa
hata kama ingekuaje kwa mfumo wa tume tuliyonayo upinzani kushika dola ni ngumu sana
mtabaki kulaumu viongozi tu lakini kumbe
tatizo ni tume
Usisingizie tume wewe wakati Lowasa alisema tujitokeze kwa wingi tupige kura tukimaliza tuishie zetu, suala la ulinzi wa kura tumuachie yeye anajua mbinu zote. Sasa unadhani tume imepata wapi nafasi ya kuchakachua? ? Kwani mawakala hawakusaini kuthibitisha kura za wagombea wao? ? Mbona tumepata wabunge wengi, imewezekanaje?
 
Mwehu wewe serikali yenu wenyewe ndio imehujumu matokeo nasiyo viongozi wa Ukawa. Lowassa ni mshindi wewe
 
Wewe Kumbe ni wale aliowataja Mheshimiwa Fulani! Wapumbavu na Malofa walioaminishwa kisichowezekana! Nina hakika unatoka kanda ile yenye ukabila na Ukanda iliyokifanya Chama Fulani kiwe SACCOS na kisiaminiwe na makabila, dini na kanda zingine. Acha kutoa Mapovu. Kama umenywea Ada Shauri yako!

kampeni zimeisha, leo ana apishwa rais, wewe hacha usenge wako wa kichochozi. mbwa mkuu wee, huu ni muda wa kujena nchi siyo kuwanza kuwaeneza watu maneno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom