Viongozi Ninaowazimia

Nasoma historia ya Ayatollah Khomeini huenda huyu naye ana mazuri yake!
 
Duh mkuu unaonekana ni mtu katili sana tofauti na title yako Rev walah ukija kuchumbia kwetu hupati mke.

Mkuu usisahau kwamba Rev. Dr Martin Luther ,mwanzilishi wa Lutheran church, ndiye alikuwa kinara wa kutoa ushauri wa jinsi ya kuangamiza wayahudi wakati wa utawala wa Hitler. Hata zile gas chamber alishiriki kwenye timu ya wataalamu. So don't be deceived by the "REV" tittle.....
Au umesahau Rev. Kibwwetere wa Uganda?
 
.
Kumbe alisaidia Waislamu, good...sasa ikawaje waligombana na Mkwere, au walinyang'nyana mabibi? Maana ni serikali iliyoongozwa na Raisi Ally Hassan Mwinyi ndo ilimshughulikia Kighoma Ali Malima (mwislamu mwenzao) akafa kihoro!
 
.
Kumbe alisaidia Waislamu, good...sasa ikawaje waligombana na Mkwere, au walinyang'nyana mabibi? Maana ni serikali iliyoongozwa na Raisi Ally Hassan Mwinyi ndo ilimshughulikia Kighoma Ali Malima (mwislamu mwenzao) akafa kihoro!

Huwezi pata jibu jiandae kupokea matusi mkuu!
 
Nasoma historia ya Ayatollah Khomeini huenda huyu naye ana mazuri yake!

Huyu jamaa simfagilii kabisa Feb 1989 kupitia Radio Tehran alitangaza fatwa zidi ya Salman Rushdie sababu ya kitabu chake cha satanic verses lakini matokeo yake alikufa yeye June 3, 1989 yaani chini ya miezi 4 baada ya kumsomea mwenzake fatwa
 
Nasoma historia ya Ayatollah Khomeini huenda huyu naye ana mazuri yake!
KITABU CHANGU CHA SATANIC VERSES by SALMAN RASHIDIE jamaa wa Iran huyu kimemiss kurasa kama kumi na mbili za mwisho naomba muniazime vya kwenu au munielekeze pa kununua, ni kitabu kizuri sana
 
ewe laanakum usitukane maandishi ya dini au lugha zawenzio,hakika mungu atakulani kwakudhalilisha dini zawengine,laanatullah.
 
wewe ndio kilaza manake unamwandama Rev kwa hisia za ukiristo vs uislam.Umekuwa ukiziandama sredi zangu sasa nitoke uje wewe uchukue nafasi yangu kitandani ili wivu ukuishe

No substance No comment!
 
Sources please!!
This is outright lie!
 
sorry nimechelewa kukujibu nilikuwa busy nasoma SATANIC VERSES ni kitabu cha ukweli ni kizuri sana
You may offend me but my religion no! I refuse to be dragged to such low level of thinking. No to such religious bigotry! No! So low I can't stoop! Sorry!
 


Heshima kwako Nyumbu,

Mkuu hii maneno ndiyo kwanza nasikia leo ,ebu nipatie source kabla sijakupatia majibu.Nyumbu wa Grumeti ninavyojua Luther alikuwa mpinzani mkubwa wa kanisa Catholic hakika wasingekubali kumwacha hata kidogo aligawe kanisa lao bila kumchomekea issues kama hizi.
 
Rev.Masa merci ming kuanzisha hii thread yanatoka hata nisiyoyajua. JF bana kisima cha infomation.
 
Namzimia Sharoon kwa namna alivyoshughulikia wapalestina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…