Viongozi mkikosea jiudhuruni ni heshima kufanya hivyo

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1




Viongozi wetu wa Afrika hasa Tanzania wanaichukulia dhama ya kujiudhuru kama matusi
hii nina sikitisha sana mbona mzee wetu mwinyi alijihudhuru na hii ikampa nafsi ya kukaa
pembeni kujijenga upya na matokeo yake akapata cheo kikubwa kuliko vyo nchini,
mimi nasema hivyo ni kutokana na hali halisi ya nchi inavyo kwenda kuna matatizo mengi
maisha ni magumu, sawa hatuwezi kusema kwamba wote watoke lakini waziri wa nishati, waziri wafedha na uchumi na waziri wa ulinzi ni wazi wameshindwa wajibu wao tena kwa mbali sana
mfano unawezaje kuwa waziri kwa zaidi ya miaka mitano tena wizara hiyo hiyo harafu leo
taifa liko kwenye mgao mkubwa wa umeme hivi wewe unaona sawa tu kuking'ang'ani hicho cheo
hata kama aliyekupa hajakufukuza lakini sisi ndio tulimpa dhamana ya kukupa hicho cheo na yeye
hatutendei haki maana anajua hakikufukuza ni hasara ya kisiasa , lakini mpaka lini mtatukalia kooni
kwani husitoke ili watu wenye mawazo mapya wakalie hicho kitu na watanzania tujilizidhishe kweli
imeshindikana baada ya watu mbali mbali kujaribu kutatua ili tatizo,
ninasema hivyo kwa misingi kwamba uwezi kuwa kiongozi sehemu kwa miaka yote hiyo bila kuwa na
mipango endelevu maana kama wao wanataka kuvalisha umeme wa maji wanatunza mazingira ya hiyo mito kweli au ndio kudanganyana kila siku hakuna mvua ndio maana kina kimeshuka lakini pia kijeografia hakuna mto ambao chanzo chake ni mvua na kama hupo ni ile inayopita mitaani na ina kahuka baada ya mvua kukatika sasa wao ina maana sisi watanzania tumewekea uchumi wetu kwenye mto wa msimo agrrrrrrrrrrrr kama ni hivyo basi huo ni ujinga uliopingukiwa, au kuna siri wanatuficha hiyo mitambo ni mwaka gani? maana isijekuwa ya mkoloni na hilo likawa ndio tatizo

waziri wa ulinzi yeye anajua hakuna kuna vifo vingapi vinazunguka wizara yake kwa uzembe wao
mbona sasa huko makambako mabomu mazee yanaalibiwa walikuwa wapi kufanya hivyo na DAR mpaka tufe kwani sisi ni kafara
waziri wa uchumi na fedha huyo hali yetu ngumu anasema ni mtikisiko wa uchumi duniani mbona mashangingi mmenunua mapya hakuna mtikisiko hapo, kuna nchi zimekupwa na mtikisiko huo lakini kiukweli na kitaaluma TANZANIA kamwe hiyo jambo sio letu hii ni kutokana na sababu zilizosababishwa na huo mtikisio na kwa mfano UK ni kutokana na mfumo mbaya wa kibenk na sisi nini basi? au ni mgao wa umeme hacheni kutufanya watoto
tokeni wenye fikra mpya waingie kumsaidia rais nyie mpeshindwa

source www.lifeofmshaba.com



 
nani anapenda kuachia ulaji wake? tatizo hakuna uwajibikaji kwa africa na hata viongozi wake wanajijua wameingia madarakani isivyo halali sasa nani amwajibishe mwenzie??? errrrrrrrr mtoa mada kumbuka neno sahihi ni kujiuzulu na sio kujiudhuru.
 
kibongo bongo wa kujiudhuru hayupo kwa mbali waliweza wakina simba napo kwa shingo upande
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom