TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,599
- 23,886
Baada ya hotuba ya jana pale Arusha wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa barabara inayotoka Arusha kwenda Holili mpakani mwa Kenya na TZ.
Mh. JPM alitanabaisha kwamba kuna viongozi wamejaribu na wanajaribu kumpunguza speed ya utumbuaji majipu japo hakutaja majina lakini mwenye akili ya utambuzi atakuwa ametambua ni kina nani aliowagusia pale.
Hii kauli niliipenda sana "vingozi wengi walijisahau na kudhanj hii mchi ni yao tu, hivyo kupelekea kujilimbikizia mali lkn pamoja na baadhi ya viongozi waliotangulia kuingilia serikali yangu sitarudi nyuma nitaendelea kutumbua majipu, badala ya watu wachache wafaidi nchi hii nataka watanzania wote wafurahie".
He kauli hii imewagusa kina nani zaidi?