Viongozi hawa wanaisumbua CHADEMA Singida

Viongozi hawa wanaisumbua CHADEMA Singida

Pamoja na changamoto kubwa za kimazingira zinazotukabili katika kuijenga CHADEMA mkoa wa Singida, wamekuwapo baadhi ya viongozi ambao wamekuwa mzigo mzito na kwa namna moja au nyingine wanatukwamisha. Hao ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la singida mjini, Josephat Isango na anayekaimu nafasi ya Katibu wa BAVICHA kwa sasa, Timothy Peter Thomas. Viongozi hawa mara nyingi wamekuwa wakikataa kushirikiana na wengine , wakiwemo viongozi wa BAVICHA mkoa wakijidai kuendeleza sera ya usomi ndani ya CHADEMA. Mathalani, wote wawili wamekataa kushiriki mikutano iliyoandaliwa na chama mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu na ile iliyoandaliwa mapema na mjumbe wa kamati kuu, Dr. Kitila Kikumbo. Pia, wamekuwa na uhasama kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kutishiana maisha wao kwa wao, uhasama ambao wengi tunauhusisha na mbio za kuwania ubunge waka 2015 kwani wote wanaonekana wanautaka. Wote waliamua kukwamisha kwa makusudi kabisa mashindano ya BAVICHA wilaya ya Singida mjini mwishoni mwa mwaka jana, mashindano ambayo yaliandaliwa na mwenyekiti wa chama wilaya ya singida nddugu Kumalija. Josephat Isango, ambaye alivuliwa uenyekiti wa BAVICHA kutokana na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na baada ya kukmbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za chama ameendelea kung’ang’ania uongozi na amekuwa akitoa matamko kwa niaba ya viongozi tulioko Singida akidanganya ameyatoa makao makuu ya chama. Timothy Peter Thomas naye, ambaye bado hajakomaa katika siasa za mikikimikiki anasemekana aliilazimisha kamati tendaji ya wilaya ili impe nafasi ya BAVICHA wakati mara nyingi yuko chuoni Dar es salaam na mwaka jana aligombana na Katibu wa wilaya, Yahaya Ramadhani baada ya kukaimu kwa nguvu nafasi ya katibu wa wilaya. Wote wawili pia wamekuwa wakitoa lugha mbaya kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoani hapa akiwemo Katibu wa wilaya, Yahaya Ramadhani. Ndugu Yahaya ameyathibitisha yote haya katika mazungumzo niliyofanya nae wiki iliyopita tukiwa ofisini, Singida.
CHANZO : MIMI MWENYEWE

Nimesoma tuhuma zote, Mimi nipo, nafikika, tuhuma hizo kama zipo watasema viongozi wa Chama, ila ID hii imetengenezwa juzi, kwa lengo ambalo nimeanza kulifahamu, viongozi wa Chama Mkoani wanajua kuhusu hii ID, wao wanapatikana, wanafikika. Kwa kuwa umeleta kama tuhuma, na najua taratibu za Chama. Weka kwa maandishi peleka kwenye Chama kichukue hatua, Chama hakitaki Ujinga sasa kinataka kuchukua dola. Halafu unapoleta tuhuma weka jina, kuna watu wanadiriki kuweka hadi namba za simu lengo ni kuwa tuwajibishane ili nchi ikombolewe. Unapokuja kwenye mtandao na kuficha ID yako halafu unaileta katika mtazamo huu inabaki ya kishabiki zaidi.
 
Pamoja na changamoto kubwa za kimazingira zinazotukabili katika kuijenga CHADEMA mkoa wa Singida, wamekuwapo baadhi ya viongozi ambao wamekuwa mzigo mzito na kwa namna moja au nyingine wanatukwamisha. Hao ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la singida mjini, Josephat Isango na anayekaimu nafasi ya Katibu wa BAVICHA kwa sasa, Timothy Peter Thomas. Viongozi hawa mara nyingi wamekuwa wakikataa kushirikiana na wengine , wakiwemo viongozi wa BAVICHA mkoa wakijidai kuendeleza sera ya usomi ndani ya CHADEMA. Mathalani, wote wawili wamekataa kushiriki mikutano iliyoandaliwa na chama mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu na ile iliyoandaliwa mapema na mjumbe wa kamati kuu, Dr. Kitila Kikumbo. Pia, wamekuwa na uhasama kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kutishiana maisha wao kwa wao, uhasama ambao wengi tunauhusisha na mbio za kuwania ubunge waka 2015 kwani wote wanaonekana wanautaka. Wote waliamua kukwamisha kwa makusudi kabisa mashindano ya BAVICHA wilaya ya Singida mjini mwishoni mwa mwaka jana, mashindano ambayo yaliandaliwa na mwenyekiti wa chama wilaya ya singida nddugu Kumalija. Josephat Isango, ambaye alivuliwa uenyekiti wa BAVICHA kutokana na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na baada ya kukmbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za chama ameendelea kung'ang'ania uongozi na amekuwa akitoa matamko kwa niaba ya viongozi tulioko Singida akidanganya ameyatoa makao makuu ya chama. Timothy Peter Thomas naye, ambaye bado hajakomaa katika siasa za mikikimikiki anasemekana aliilazimisha kamati tendaji ya wilaya ili impe nafasi ya BAVICHA wakati mara nyingi yuko chuoni Dar es salaam na mwaka jana aligombana na Katibu wa wilaya, Yahaya Ramadhani baada ya kukaimu kwa nguvu nafasi ya katibu wa wilaya. Wote wawili pia wamekuwa wakitoa lugha mbaya kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoani hapa akiwemo Katibu wa wilaya, Yahaya Ramadhani. Ndugu Yahaya ameyathibitisha yote haya katika mazungumzo niliyofanya nae wiki iliyopita tukiwa ofisini, Singida.
CHANZO : MIMI MWENYEWE

MLETA UZI, HONGERA, HUMU JF UMEJIUNGA TAREHE 21 JANUARI JANA, UMEPOST MARA 4, HUJAWAHI KU REPLY, LIKES RECEIVED 0, NA LIKES GIVEN 6 AMBAZO HUENDA UMEJIPA WEWE KWA ID ZAKO FEKI. Cha Msingi, tunakujua. Umeanza kumsumbua Isango kwa mambo mengi yakiwemo ya Masalia, Unamchafua kwa sababu ya mbio za Ubunge japo hajatangaza kugombea, ni hofu tu. Lakini cha zaidi wewe unatumika na subiri utajua madhara ya kutumika muda si mrefu. Unapomhusisha Isango na Mwigulu hata mjinga anajua. Unamjua Isango au umetumwa kuleta majungu. Huyo jamaa msimamo wake upo wazi kuhusu siasa za Tanzania, hajipendekezi, hakopeshi, hana chenga kuonyesha anamchukia nani na anamuunga mkono nani? Sasa Isango na Nchemba kweli, sijui! hata uwezo wao ni toauti sana kuelewa mambo watajadili nini pamoja?
 
Pamoja na changamoto kubwa za kimazingira zinazotukabili katika kuijenga CHADEMA mkoa wa Singida, wamekuwapo baadhi ya viongozi ambao wamekuwa mzigo mzito na kwa namna moja au nyingine wanatukwamisha.

Hao ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la singida mjini, Josephat Isango na anayekaimu nafasi ya Katibu wa BAVICHA kwa sasa, Timothy Peter Thomas. Viongozi hawa mara nyingi wamekuwa wakikataa kushirikiana na wengine , wakiwemo viongozi wa BAVICHA mkoa wakijidai kuendeleza sera ya usomi ndani ya CHADEMA. Mathalani, wote wawili wamekataa kushiriki mikutano iliyoandaliwa na chama mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu na ile iliyoandaliwa mapema na mjumbe wa kamati kuu, Dr. Kitila Kikumbo.

Pia, wamekuwa na uhasama kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kutishiana maisha wao kwa wao, uhasama ambao wengi tunauhusisha na mbio za kuwania ubunge waka 2015 kwani wote wanaonekana wanautaka. Wote waliamua kukwamisha kwa makusudi kabisa mashindano ya BAVICHA wilaya ya Singida mjini mwishoni mwa mwaka jana, mashindano ambayo yaliandaliwa na mwenyekiti wa chama wilaya ya singida nddugu Kumalija.

Josephat Isango
, ambaye alivuliwa uenyekiti wa BAVICHA kutokana na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na baada ya kukmbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za chama ameendelea kung’ang’ania uongozi na amekuwa akitoa matamko kwa niaba ya viongozi tulioko Singida akidanganya ameyatoa makao makuu ya chama.

Timothy Peter Thomas
naye, ambaye bado hajakomaa katika siasa za mikikimikiki anasemekana aliilazimisha kamati tendaji ya wilaya ili impe nafasi ya BAVICHA wakati mara nyingi yuko chuoni Dar es salaam na mwaka jana aligombana na Katibu wa wilaya, Yahaya Ramadhani baada ya kukaimu kwa nguvu nafasi ya katibu wa wilaya. Wote wawili pia wamekuwa wakitoa lugha mbaya kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA mkoani hapa akiwemo Katibu wa wilaya, Yahaya Ramadhani. Ndugu Yahaya ameyathibitisha yote haya katika mazungumzo niliyofanya nae wiki iliyopita tukiwa ofisini, Singida.
CHANZO : MIMI MWENYEWE


Wewe ndiye Mhusika namba moja unayetaka kumchafua Isango.Lengo lako hapo unataka ili usijulikane lakini wewe ndiye Timothy Mwenyewe.Kama unataka kugombea jimbo la Singida Mjini fuata njia za kidemokrasia na si siasa hizi za kuchafuana kwa msomi kama wewe.

Issango alikua Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya BAVICHA.Na umekua ukitumia nguvu Nyingi kuingilia utendaji wa kamati ndogo na kutaka MASALIA wasamehewe kwa sababu zako binafsi

Fanya kazi ya kujenga chama acha kufanya ushirika na watu wa CCM kwa maslahi binafsi.Maliza shahada yako hapo Chuoni na ujikite kufanya shughuli za kujenga jimbo.Kama una genuine claims fuata kanuni za chama.Acha kumchafua Josephati Issango ambaye tunajua anafanya kazi vizuri ingawa mwaka 2010 Dewji alimwaga Mamilioni ya Fedha akishirikiana na viongozi wasio waaminifu wa upinzani ili kumuhujumu jimboni kama Alivyofanyiwa Wenje na kama nimrodi nkono alivyomtumia kiongozi huyo huyo wa upinzani kumshawishi na hatimaye kufanikiwa kumhonga mgombea wa CHADEMA ili apite bila kupingwa.msimamo wa Issango upo wazi
 
hivi ni lazima ukiwa kwenye siasa uwe na CHEO? kama ni mpambanaji kweli pambana kutoka moyoni bali si kwa cheo.
 
Hapa si ndio ofisi yenu ilipo mnyika,Babu,Mbowe Zitto wote wamo kwa ID zao na fake.Kwa hiyo malalamiko yapo mahala pake panapostahili.Au nyie mnaowalalamikia masalia si mngepeleka ofisini sio hapa basi.
Hivi hujui makao makuu kupelekea hii habari
Jamii forums ndo imekua ofisi ya chadema,hebu pelekeni haya matatizo ofisini tuache unafiki hapa jamvini,umbeya umekua mwingi sana fikisheni makao makuu.
 
pamoja na changamoto kubwa za kimazingira zinazotukabili katika kuijenga chadema mkoa wa singida, wamekuwapo baadhi ya viongozi ambao wamekuwa mzigo mzito na kwa namna moja au nyingine wanatukwamisha.

Hao ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chadema jimbo la singida mjini, josephat isango na anayekaimu nafasi ya katibu wa bavicha kwa sasa, timothy peter thomas. Viongozi hawa mara nyingi wamekuwa wakikataa kushirikiana na wengine , wakiwemo viongozi wa bavicha mkoa wakijidai kuendeleza sera ya usomi ndani ya chadema. Mathalani, wote wawili wamekataa kushiriki mikutano iliyoandaliwa na chama mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu na ile iliyoandaliwa mapema na mjumbe wa kamati kuu, dr. Kitila kikumbo.

Pia, wamekuwa na uhasama kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kutishiana maisha wao kwa wao, uhasama ambao wengi tunauhusisha na mbio za kuwania ubunge waka 2015 kwani wote wanaonekana wanautaka. Wote waliamua kukwamisha kwa makusudi kabisa mashindano ya bavicha wilaya ya singida mjini mwishoni mwa mwaka jana, mashindano ambayo yaliandaliwa na mwenyekiti wa chama wilaya ya singida nddugu kumalija.

josephat isango
, ambaye alivuliwa uenyekiti wa bavicha kutokana na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na baada ya kukmbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za chama ameendelea kung’ang’ania uongozi na amekuwa akitoa matamko kwa niaba ya viongozi tulioko singida akidanganya ameyatoa makao makuu ya chama.

timothy peter thomas
naye, ambaye bado hajakomaa katika siasa za mikikimikiki anasemekana aliilazimisha kamati tendaji ya wilaya ili impe nafasi ya bavicha wakati mara nyingi yuko chuoni dar es salaam na mwaka jana aligombana na katibu wa wilaya, yahaya ramadhani baada ya kukaimu kwa nguvu nafasi ya katibu wa wilaya. Wote wawili pia wamekuwa wakitoa lugha mbaya kwa baadhi ya viongozi wa chadema mkoani hapa akiwemo katibu wa wilaya, yahaya ramadhani. Ndugu yahaya ameyathibitisha yote haya katika mazungumzo niliyofanya nae wiki iliyopita tukiwa ofisini, singida.
Chanzo : Mimi mwenyewe

isango ukiona moshi unafuka ujue chini kuna moto. Naomba unitafute hewa ningependa kusikia toka kwako. Otherwise tuhuma hizi tafadhali naomba usizijibu humu jamvini. Busara itumike kuzijibu kwa hoja katika muda mwafaka katika ofisi mwafaka. Sawa kaka. Huwezi jua aliyeandika ametumwa na nani na anataka nini. Be patient and respond wisely please.nipo voda leo kwa namba hii kaka 0758008800 au tigo 0655002200. I hope umenipata.
 
chadema tunakoelekea siko,viongozi wa ngazi za juu wameweka pamba masikioni kila mtu ndani ya chama sasa ni kama kambale.
 
Viongozi hawaongozi bila kuwepo waongozwa. Wewe hujazungumzia waongozwa wenye matatizo.
 
chadema tunakoelekea siko,viongozi wa ngazi za juu wameweka pamba masikioni kila mtu ndani ya chama sasa ni kama kambale.

Mimi nakushauri ondoka hiki chama kama siyo masalia unayeng'ang'ania kwa sababu zingine
 
Unaposema harakati za kujenga Chama Singida halafu unakuja na hoja isiyo na mshiko kama hiyo kwa Isango hatutakuelewa kabisa, Isango ni kati ya watu wachache sana singida ambao usiku na mchana wanahangaika kwa ajili ya kuijenga CHADEMA>>> yeye ni binadamu kama ulivyo wewe anaweza kuwa na mapungufu fulani lakini matendo yake yote yanaonyesha dhamira safi aliyonayo juu ya ukombozi wa nchi yetu kupitia CDM, hata hivyo kama wewe umekomaa vizuri kisiasa kiasi cha kukosoa wenzako ni vizuri ukawa wazi tukakufahamu maana hakuna sababu ya kujificha wakati unajiita unajenga>>> acha kutumika CDM Singida tuko vizuri na tunasonga mbele
 
Nina wasiwasi kama wewe
hujatumwa na Mchemba ili uvuruge chama kwani kama kweli tuhuma zako ni
za kweli, kwanini usitumie taratibu za kawaida kuwasilisha malalamiko
kwa chama kwa kuandika barua kwa katibu wa mkoa na nakala kwa katibu
mkuu au kapeleka tuhuma zako kwenye mikutano halali ya chama.
Humu jf unamwaga mchele kwenye kuku wengi wengine ni kunguru.
Tumia akili sana ktk kujenga sio kubomoa.

wanafuata nyao za kiongozi wetu shupavu Ben Saa8
 
pamoja na changamoto kubwa za kimazingira zinazotukabili katika kuijenga chadema mkoa wa singida, wamekuwapo baadhi ya viongozi ambao wamekuwa mzigo mzito na kwa namna moja au nyingine wanatukwamisha.

Hao ni pamoja na aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chadema jimbo la singida mjini, josephat isango na anayekaimu nafasi ya katibu wa bavicha kwa sasa, timothy peter thomas. Viongozi hawa mara nyingi wamekuwa wakikataa kushirikiana na wengine , wakiwemo viongozi wa bavicha mkoa wakijidai kuendeleza sera ya usomi ndani ya chadema. Mathalani, wote wawili wamekataa kushiriki mikutano iliyoandaliwa na chama mwishoni mwa mwaka jana na mwanzoni mwa mwaka huu na ile iliyoandaliwa mapema na mjumbe wa kamati kuu, dr. Kitila kikumbo.

Pia, wamekuwa na uhasama kwa muda mrefu hadi kufikia hatua ya kutishiana maisha wao kwa wao, uhasama ambao wengi tunauhusisha na mbio za kuwania ubunge waka 2015 kwani wote wanaonekana wanautaka. Wote waliamua kukwamisha kwa makusudi kabisa mashindano ya bavicha wilaya ya singida mjini mwishoni mwa mwaka jana, mashindano ambayo yaliandaliwa na mwenyekiti wa chama wilaya ya singida nddugu kumalija.

josephat isango
, ambaye alivuliwa uenyekiti wa bavicha kutokana na kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 na baada ya kukmbwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha za chama ameendelea kung’ang’ania uongozi na amekuwa akitoa matamko kwa niaba ya viongozi tulioko singida akidanganya ameyatoa makao makuu ya chama.

timothy peter thomas
naye, ambaye bado hajakomaa katika siasa za mikikimikiki anasemekana aliilazimisha kamati tendaji ya wilaya ili impe nafasi ya bavicha wakati mara nyingi yuko chuoni dar es salaam na mwaka jana aligombana na katibu wa wilaya, yahaya ramadhani baada ya kukaimu kwa nguvu nafasi ya katibu wa wilaya. Wote wawili pia wamekuwa wakitoa lugha mbaya kwa baadhi ya viongozi wa chadema mkoani hapa akiwemo katibu wa wilaya, yahaya ramadhani. Ndugu yahaya ameyathibitisha yote haya katika mazungumzo niliyofanya nae wiki iliyopita tukiwa ofisini, singida.
Chanzo : Mimi mwenyewe
we rabi wa leo, weka avatar na id vieleweke tukuhoji vizuri usiogope ukweli. Vinginevyo kamanda isango usihangaike kujibishana na uzi huu usio na maslahi kwa chama chetu kitukufu.
 
nimesoma tuhuma zote, mimi nipo, nafikika, tuhuma hizo kama zipo watasema viongozi wa chama, ila id hii imetengenezwa juzi, kwa lengo ambalo nimeanza kulifahamu, viongozi wa chama mkoani wanajua kuhusu hii id, wao wanapatikana, wanafikika. Kwa kuwa umeleta kama tuhuma, na najua taratibu za chama. Weka kwa maandishi peleka kwenye chama kichukue hatua, chama hakitaki ujinga sasa kinataka kuchukua dola. Halafu unapoleta tuhuma weka jina, kuna watu wanadiriki kuweka hadi namba za simu lengo ni kuwa tuwajibishane ili nchi ikombolewe. Unapokuja kwenye mtandao na kuficha id yako halafu unaileta katika mtazamo huu inabaki ya kishabiki zaidi.

hapo sawa isango apeleke kwenye chama huko ndiko kila kitu kinawekwa mezani. Otherwise you have answered it well. Humu jamvini sio pa kupigia umbeya na kuleta hasira sijui za baa kama anavyodiriki kutuaminisha kwamba hauna hela ukipata kumi unatimkia sijui wapi. Usijali onesha ukomavu katika majibu.
 
Ndugu yangu, huyu mleta uzi amejiunga JF jana na unaweza ukakuta hata si mwanachama wa chadema bali kaamua tu kutengeneza zengwe. Wamo wengi humu JF wa aina yake kwa hiyo usiwe mwepesi kushawishika kwamba huyu ni mtu wa CDM.

ni kweli hawezi kuwa mwana cdm, nafikiri ifike wakati mods wawe wanazifuta mpaka kutakapopatikana ushahidi na itumiwe verified id
 
Natumaini viongozi wa chama watakuwa wamepata ujumbe huu, basi ni vyema kufuatilia jambo hili kwa karibu ili kusawazisha kungali mapema.
 
Back
Top Bottom