Viongozi CWT wahujumu mfuko wa maafa Bariadi

Viongozi CWT wahujumu mfuko wa maafa Bariadi

jeuriyao

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
21
Reaction score
1
Viongozi wa cwt bariadi wamehujumu mfuko wa maafa kwa kufanya ni mradi wao wa kujilipa posho bila kutoa huduma kwa wathirika wanaokumbwa na majanga kama vile vifo na matibabu kwa kisingizio cha mkurugenzi hatoi hundi.

Ni miaka miwili sasa wakiwa wanajinufaisha wenyewe huku wakishindwa kusoma taarifa ya mfuko kwa ujumla hii ni hujuma na wizi mkubwa kwa walimu chondechonde cwt bariadi fanyeni maamuzi mapema kabla ya hali ya hewa kuvurugika.
 
Back
Top Bottom