ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Acheni kuwa chamba jamaniHajasoma nini na wewe...... Waalim wa prmry c wale waliofeli au! Na wanajiendeleza kimagumash ivoivo wanaenda sec.
Yaan ukimwambia mtu ukweli unamchamba?? Mwl gan wa primary mwenye div,. One au two, sas ngoja wagome halafu mtafute mmoja tu muulize unagomea nini kama ataweza kujidadavua ipasavyo nakuunganisha internet mwez mzimaAcheni kuwa chamba jamani
Mgomo hatuusikii ,msijifiche,acheni woga
serikali isiwatishe mnatetea haki za wafanyakazi,sio haki za serikali.
magufuli kawatisha, wanachama tunawaangalia!
cwt ni tawi la ccm?
Hahahaaaa hawajiwezi kabisa na hii imetengenezwa na chama twawala, mtu akikiutia unyonge kwenye maswala ya uchumi ameku blunt hata kifikraYaan ukimwambia mtu ukweli unamchamba?? Mwl gan wa primary mwenye div,. One au two, sas ngoja wagome halafu mtafute mmoja tu muulize unagomea nini kama ataweza kujidadavua ipasavyo nakuunganisha internet mwez mzima
Bashite groupHakuna watu waoga kama walimu wazee wa security...
Una uhakika na haya maneno yako au ilmrad umeandka tuuuAsilimia 90 ya walimu ni type ya bashite...walifeli kwa hyo ni waoga sana..tena bora waliopo private schools wanajielewa..serikalini ni vilaza vilaza kabisaaa...
KabisaaaaHahahaaaa hawajiwezi kabisa na hii imetengenezwa na chama twawala, mtu akikiutia unyonge kwenye maswala ya uchumi ameku blunt hata kifikra
Siyo mkopo sema mikopoPlus ana mkopo bank...
Hajasoma nini na wewe...... Waalim wa prmry c wale waliofeli au! Na wanajiendeleza kimagumash ivoivo wanaenda sec.
Punguza ukali wa maneno ndg yangu, lakini pia mengine weka akiba. Nadhani umefika hapo ulipo na leo umeweza kuandika ukiwaponda Walimu baada ya kupitia mikononi mwa hao hao vilaza!Asilimia 90 ya walimu ni type ya bashite...walifeli kwa hyo ni waoga sana..tena bora waliopo private schools wanajielewa..serikalini ni vilaza vilaza kabisaaa...