Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

They look smart. I admire their cloth color which is also favorable national color in 2015. Tutazivaa sana, kama mnajichimbia kaburi anza mapema...no jock in serious political matters like our Katiba. Chezea sehemu nyingine sio katiba!
 
Hakuna kulala.
Hakuna kuwaachia chama cha mafisadi na viongozi wao wapumue.
Tutawabana kila kona.
Sababu ya kuwaondoa tunayo, nia ya kuwaondoa tunayo, na uwezo wa kuwaondoa tunao.
Mpaka kieleweke,
People's Power!!!

mtasubiri sn! matumain ya kupiga teke hewa. endelea!
 
They look smart. I admire their cloth color which is also favorable national color in 2015. Tutazivaa sana, kama mnajichimbia kaburi anza mapema...no jock in serious political matters like our Katiba. Chezea sehemu nyingine sio katiba!
Eee bhana umeandika kikakamavu sana ! Dah! Hadi raha aisee !
 
hawa jamaa ni wasanii sana yaani watoto wamelazimishwa kabisa hawana ata chembe ya furahaa,watoto wamekunja sura
pia wanakiuka haki ya hawa watoto walitakiwa kuwa darasani muda huu wenyewe wanawatumia kwenye siasa



darasani hakuna walimu, hakuna vitabu, hakuna madawati..
 
Kuna mzee mmoja wa Lumumba kasema CCM bado miaka kumi tuu,,, sasa sijui ana maana kuwa ni 2015 - 2025?

Yaani tuwe tunasubiria tuu mpaka 2025,,,, Tutafakarii..,,,
 

kila siku ninasema hila kwa sasa haina nafasi huu ni wakati wa uwazi na ukweli,kwa nini ccm mnashindwa kujifunza? kuepukana na hila
 
kila la heri kadima japokuwa siasa za zanzibar ni .......
 
Hongera sana Makamanda,Mungu yupo pamoja nasi kwenye ukombozi wa nchi hii,hii ziara ni nzuri sana,Kura za Pemba zote zitaenda Ukawa,Lindi ,Mtwara na Pwani yote Ukawa,Dodoma,Singida na Tabora Ukawa,huko kwingine sisemi jamani yaani raha tupu,...Mwanza,Mbeya,Arusha,Iringa,Kilimanjaro...Ukawa,asisee Kigoma,Kagera....ukombozi unakuja
 
Mmewalipa bei gani hawa ili wawape promo
 
Propaganda za kipuuzi sana! Inaonekana bado una akili za '95 tulipokuwa tunawekewa picha za mauaji ya Rwanda!

Ktk watu tunaowapenda zaidi Zanzibar mmoja wao ni TUNDU LISSU alipokuja Zanzibar kila anapopita watu walikuwa wakimdimamisha na kuomba kupiga nae picha!
Hiyo ni Ishara kuwa watu wanamkubali sana!
 

cdm = chama dume cha maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…