Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

hawa watoto wamependeza sana kwa sababu HAWAJABEBESHWA MAGOBOLE NA AK 47 kama hawa majangili wa tembo na twiga wanavyofanya kwa watoto wadogo utafikiri boko halamu
 
Ushauri wangu kwa cdm Pemba wasijisumbue hao wote ni cuf ...
 
Nitawashangaa sana wazanzibari wakikubali unafki wa viongozi wa chadema, ikumbukwe ni mara nyingi tu viongozi wa chadema walitumia maneno ya kashfa kuwakebehi wazanzibari akiwemo lissu ,
Wazanzibari tuna matatizo yetu sawa lakini kamwe tusiwskubali wanafik wanufaike na matatizo yetu, wao waendelee na maandamano yao huko bara
 
hawa jamaa ni wasanii sana yaani watoto wamelazimishwa kabisa hawana ata chembe ya furahaa,watoto wamekunja sura
pia wanakiuka haki ya hawa watoto walitakiwa kuwa darasani muda huu wenyewe wanawatumia kwenye siasa


CHAD%2B1.jpg
we mama tulia dawa ikuingie.umechanganyikiwa hadi umesahau kwamba hii picha ni ya wikiend na coment yako hii ni ya Jumapili.kama huko nchini kwenu kisheria wanenu wanasoma na J.pili kashitaki.Sisi huku Tanzania ni mapumziko.
 
Hayawi hayawi sasa mbona yamekuwa, oneni wenyewe sasa twawashambuli. Mko hatarini Chadema awaambia
 
Wahuni sana hawa MACCM wako radhi kufanya lolote lile ili kubaki madarakani.

Hili jambo mnaweza kulibeza lakini wanasiasa makini kamwe hawawezi kulidharau.Ni wakati mufaka sasa CCM kuna na siasa mbadala na kuweka kando ghilba.Kila siku kuna jambo jipya linazuka kuhusiana na upigaji kura Bunge la katiba,juzi kiongozi wa NCCR Mageuzi Zanzibar alikataa kata kata hakupiga kura wala kushiriki mchakato wa katiba mpya,leo tunaambiwa Zakia Meghji kapiga kura kama Mzanzibar wakati tunajua huyu kesha kuwa mbara kuanzia ukuu wa wilaya ya Moshi,ubunge wa kuteuliwa upande wa bara na nk.kesho tutasikia makubwa zaidi achilia mbali wapigakura wa fax....
 
mkuu wameenda kufanya nini sasa huko?
kweli ccm ni wapuuzi, maana hata maswali wanayouliza ni ya kipuuzi tu.

Sisi ccm ni wapuuzi. By kinana.

Mkuu unaulizia chama unachosemaga kimekufa?? Pole mpuuzi.
 
nitawashangaa sana wazanzibari wakikubali unafki wa viongozi wa chadema, ikumbukwe ni mara nyingi tu viongozi wa chadema walitumia maneno ya kashfa kuwakebehi wazanzibari akiwemo lissu ,
wazanzibari tuna matatizo yetu sawa lakini kamwe tusiwskubali wanafik wanufaike na matatizo yetu, wao waendelee na maandamano yao huko bara

tulia mpuuzi; sisi ccm ni wapuuzi; by kinana-mwembe togwa- iringa 12/10/2014
 
Huo unaitwa wivu wa kugombaniA bwana


HAHAHA MKUU vanessa lynn
KULA 100% KWA KUMJIBU VIZURI HUYO MPUUZI, KUTOKA CHAMA CHA WAPUUZI, ANZIA MWENYEKITI WAO HADI KATIBU WAO MKUU NA WANACHAMA NI WAPUUZI.. HAYO NI MANENO YA KATIBU WAO JUZI MWEMBE TOGWA IRINGA;

SISI CCM NI WAPUUZI; BY KINANA-12/10/2014.
 
teh teh teh mtasubiri sana kupewa nchi viazi kama nyie

pole sana mpuuzi unabishana na maneno ya katibu wako mkuu?? Nikuripoti ukose kibarua hapa cha buku 7. Katibu wako amesema hivi " sisi ccm ni wapuuzi"

sasa wewe msukule una ujasiri wa kumpinga katibu wako mkuu.??.. Hujui utatoswa hata hiyo buku 7, au nikuitie vuta ni kuvute akunyang'anye hiyo id, na tablet.... Huwezi kubadilika wewe ni mpuuzi tu,
 
Back
Top Bottom