Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,694
kweli ccm ni wapuuzi, maana hata maswali wanayouliza ni ya kipuuzi tu.
Sisi ccm ni wapuuzi. By kinana.
Mkuu unaulizia chama unachosemaga kimekufa?? Pole mpuuzi.
Nashangaa maana chadema na pemba wapi na wapi? Labda kuvua samaki.