Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
Viongozi wa Chadema wakiwapungia mikono wananchi waliofika kuwapokea Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili kisiwani humo kwa mkutano wao Wakiwa na Katibu Mkuu wa Chadema Slaa.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk,Slaa akivishwa koja la maua na mtoto aliyweandaliwa katika sherehe za mapokezi ya Viongozi hao walipowasili uwanja wa ndege Pemba kwa ziara yao na kuzungumza na wanachama wao.

Ngoma ya Kibati ikitumbuiza mapokezi ya viongozi wa Chadema huko Pemba.
Katibu mkuu wa Chadema Taifa.Dk Slaa akiwahutubia Wanachama wa Chadema huko
katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya FidelCastro Pemba.


Chanzo: ZanziNews
 
Safi sana...kwa kweli Ukawa wasipoingia madarakani...nitaumia sana...kwa jinsi tulivyojiandaa...
 
Niko lumumba hapa tunapanga kuandamana
Kwanini Dr Slaa haoni umuhimu wa Zitto kuhama Chadema.
 
Hapa kuna jambo la kujifunza hapa. Hawa watoto wadogo tayari wameshatambua kuwa kuna chama kinachoitwa CDM na watakua hadi wakifikia umri wa kupiga kura unafikiri watachagua chama gani? Hongereni Pemba mimi leo naanza na wanangu.
 
hawa jamaa ni wasanii sana yaani watoto wamelazimishwa kabisa hawana ata chembe ya furahaa,watoto wamekunja sura
pia wanakiuka haki ya hawa watoto walitakiwa kuwa darasani muda huu wenyewe wanawatumia kwenye siasa


CHAD%2B1.jpg
 
Safi sana makamanda. Na kwahabari zilizovuja au kuchotwa katika Intelligentsia ya Chadema ni kwamba. Dr. Slaa na timu yake wameenda kupandikiza mbinu thabiti za kuakikisha kura hata moja toka kwa chama chochote mshirika wa Ukawa haichakachuliwi.

NB:

Kwakuwa CUF ilikuwa ikishinda chaguzi zote Zanzibar Lakini matoke yalikuwa yakichakachuliwa na ccm kujitangazia ushindi, sasa habari mbaya kwa magamba ni kwamba Dume lao limewasili visiwani na lugha sasa ni moja tu, "CHAKACHUA UCHAKACHULIWE tit for tati?"
 
Viongozi Taifa wamependeza,Watoto wamependeza,kikao nacho kimependeza..yaani wamependeza..Go go Chadema.
 
Ili chama kikubalike kitaifa,kinahitaji kujisimika kila pembe ya nchi. CCM walilitambua hili mapema. CDM hawajachelewa bado,
 
Hakuna kulala.
Hakuna kuwaachia chama cha mafisadi na viongozi wao wapumue.
Tutawabana kila kona.
Sababu ya kuwaondoa tunayo, nia ya kuwaondoa tunayo, na uwezo wa kuwaondoa tunao.
Mpaka kieleweke,
People's Power!!!
 
Viongozi wa Chadema wakiwapungia mikono wananchi waliofika kuwapokea Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili kisiwani humo kwa mkutano wao Wakiwa na Katibu Mkuu wa Chadema Slaa.
Katibu Mkuu wa Chadema Dk,Slaa akivishwa koja la maua na mtoto aliyweandaliwa katika sherehe za mapokezi ya Viongozi hao walipowasili uwanja wa ndege Pemba kwa ziara yao na kuzungumza na wanachama wao.

Ngoma ya Kibati ikitumbuiza mapokezi ya viongozi wa Chadema huko Pemba.
Katibu mkuu wa Chadema Taifa.Dk Slaa akiwahutubia Wanachama wa Chadema huko
katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya FidelCastro Pemba.


Chanzo: ZanziNews
zenji ni yakuigwa na wabara
 
Hili jambo mnaweza kulibeza lakini wanasiasa makini kamwe hawawezi kulidharau.Ni wakati mufaka sasa CCM kuna na siasa mbadala na kuweka kando ghilba.Kila siku kuna jambo jipya linazuka kuhusiana na upigaji kura Bunge la katiba,juzi kiongozi wa NCCR Mageuzi Zanzibar alikataa kata kata hakupiga kura wala kushiriki mchakato wa katiba mpya,leo tunaambiwa Zakia Meghji kapiga kura kama Mzanzibar wakati tunajua huyu kesha kuwa mbara kuanzia ukuu wa wilaya ya Moshi,ubunge wa kuteuliwa upande wa bara na nk.kesho tutasikia makubwa zaidi achilia mbali wapigakura wa fax....
 
obama wa bongo kweli hao watoto walitakiwa shule lakini chadema wakawatumia kwenye siasa, wenzio hapa chini wao walishamaliza skuli kitambo sana.

Hao watoto walojazana hapo mbele nao washamaliza skuli.
2.Kinana akihutubia wananchi wa Kijiji cha Lwampembe, Nkasi.jpg

Uyu alobeba bendera keshamaliza Skuli

bendera.jpg
 
Chadema haihitaji kura za wazanzibari kushindi kiti cha Urais Tanzania Tundu Lissu

CUF ni chama cha Zanzibar - Tundu Lissu
 
Last edited by a moderator:
Safi sana cdm , CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
 
Back
Top Bottom