Viongozi Chadema - must read


Mimi sina price tag kama ulivyo wewe.Naomba uje uanike hizo info hapa...
 
Habari za uhakika nilizonazo ni kuwa hata hii taarifa sio yeye ameiandika
 
Na watu wenye stress za maisha ni asilimia tisini ya watanzania wote. Patamu hapo 2015.....

Ha ha ha...mi naona asilimia 100 mkuu maana walio CCM ndio wana stress mbaya za kuogopa kuondolewa kuliko hawa wengine!!!
 
Ha ha ha...mi naona asilimia 100 mkuu maana walio CCM ndio wana stress mbaya za kuogopa kuondolewa kuliko hawa wengine!!!

Mlalahoi apate stress gani wakati anachotafuta ni mlo wake wa kupitisha siku mambo yanaendelea. Tatizo waliochukua kisicho chao ndio wenye wasiwasi na mabadiliko, kwani hawana hakika na future yao nini kitatokea upinzani ukishika dola kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…