Viola is missing

Nawaza tu hapa kama hao watekaji wangekuwa wana access ya urahisi ya kuingia, au kuwafahamu members wakosoaji wote wa jamii forums! Aisee nina uhakika yangetokea mauaji ya halaiki.

Maxence Melo, congratulation brother. Unajitahidi sana kuwalinda ndugu zako humu jukwaani. Siku ikitokea ukawasaliti, basi tambua fika dunia haitakutambua tena kama shujaa na msimamizi wa sauti huru! Na badala yake utatambulika kama Yuda Iskarioti.
 
Asije akafika bei tu.
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…