Vioja vya wanafunzi na Masomo

Vioja vya wanafunzi na Masomo

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Posts
6,410
Reaction score
3,881
pamoja na sababu kemkem zinazosababisha wanafunzi kupata ufaulu hafifu suala la mapenzi, mipasho ya taarabu, ligi za majuu, movies vinachangia pakubwa ufaulu hafifu. hebu angalia maandishi haya ya mwanafunzi wa fm 2

attachment.php
 

Attachments

  • vioja vya wanafunzi 001.jpg
    vioja vya wanafunzi 001.jpg
    149.5 KB · Views: 1,180
Aya ya ya ya yaa...Kwa upande mwingine wanastahili kufeli kwa kiasi kile kama hali yenyewe ndo hii..
 
Kutokana na kukua kwa teknolojia . ..vijana wetu wamekuwa na shughuli nyingi zisizowapa elimu faida katika masomo yao....sehemu kubwa ya wasomi wetu hawa huishi chini ya uangalizi wa "mahausigeli" kwa sababu wazazi wengi wanakuwa wamebanwa na shughuli nyingine za kiuchumi...labda tuanzishe mitandao mingi inayohusiana na elimu ya vijana....tuanzishe chaneli za bure za vijana za taaluma kama hizi tulizonazo zinazofundisha mahusiano na elimu ya uzazi kwa vijana chini ya miaka 18.....
 
attachment.php

Dah aisee nafikiri hawa watoto wana akili san labda tungewabadilishia mitaala iendane na syakati walizopo wangefaulu sana....
 
Hahahahaaa maskini weeeee
si hayo tu yapo mengi. unashagaa mwanafunzia anaandika wakamba, wanyamwezi na wayao walikuwa participants katika biashara ya kuvuka jangwa la sahara lakini anaweza kukutajia wachezaji wote wa Arsenal, Man U n.k. na position zao bila utata. katika kujibu swali kuhusu bidhaa inayozalishwa kwa wingi na kiwanda cha wazo mwanafunzi alitaja moshi. Ukiangalia majibu ya wanafunzi katika pepa zao mashuleni unaweza kujiuliza hivi kuna nini. However, kuna wachache wako serious na wanafanya vizuri lakini ni wachache sana.
 
Aya ya ya ya yaa...Kwa upande mwingine wanastahili kufeli kwa kiasi kile kama hali yenyewe ndo hii..

Kwani nani kati yetu hajapitia hatua hiyo?
 
Yule msela wangu aliyechora zombi ameahidi kwamba, akipewa fursa ya kurudia Mitihani yake atamalizia kumvisha viatu na kuweka rangi.
 
Back
Top Bottom