Vingunguti, Dar es salaam

Mtu akikwambia anaishi Dar usikurupuke kuomba misaada tu wengine wanahitaji kusaidiwa.
Tatizo sio nyumba, ni hayo mazingira ambayo wameyatengeneza wenyewe, watu wanavizia usiku wanamwaga takataka popote, asubuhi wanalalamikia serikali kuwa maeneo ni machafu.
 
Halafu Ukikutana naye barabarani kapigilia pamba za ukweli..., kama ni mdada kajipodoa mpaka kero, usiku analala dampo.
Na watu wa huku wanavyojua kujipodoa ukikutana nao unaweza ukaota usiku jinsi walivyojipiga mirangi mingi. Nimejikuta naukumbuka wimbo wa Raymond tuu.
 
Halafu mwewe wa CloudsTv akionesha hizi habari tunaambiwa Clouds wanatumiwa kuhujumu halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.
 
Halafu mwewe wa CloudsTv akionesha hizi habari tunaambiwa Clouds wanatumiwa kuhujumu halmashauri zinazoongozwa na UKAWA.
Yaani sasa hivi usifanye kitu watu wanaleta siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…