Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Wakuu niko hapa JKN airport nasikia vingora vya FFU hapo barabara ya Nyerere kuna msala gani?
Ngoja wafuasi wa kile chama waje watupe taarifa
Wakuu niko hapa JKN airport nasikia vingora vya FFU hapo barabara ya Nyerere kuna msala gani?
Sio lazima upost kitu chochote humu jf.JF sio solution ya kila kitu.Vitu vingine unatakiwa ufanye utafiti wewe mwenyewe.Au unatafuta sababu yakuisimanga F.F.U?,kaa chini ufikirie maisha yako na si maisha yawenzako.AchaMAJUNGU MKUU.
So lazima ujibu ila swali