Vingine raha vingine karaha.

Na wewe hujaacha tabia yako?


Allah-u-akber ntake radhiiiiiiiiiiii khaaa!!! Sihusudishi hii makitu kabisaaaa mie napenda ile kitu orijinali muulize Mr Rocky akwambie:israel::violin:
 
Last edited by a moderator:
hivi umeniwekea limbwata au? Mbona nakumisi hivi?
hamna limbwata wala ugoro! Ni chungu changu cha kuvuta! Kitu kienyeji originally! Nakumiss pi hun wangu, lol! Mwahhhhhhh!
 
Madame B mtajwa hapo juu kamwe hawezi haribu mfumo wa mwili wangu kwani anaujua fika hata akiwa ndotoni aweza kukuchorea ulivyo ati! Et Asprin thibitisha kauli hii
Nithibitishe kwa vitendo?






Kale kanguo ka pink bado unako au nikutafutie kengine?

 
Madame B mtajwa hapo juu kamwe hawezi haribu mfumo wa mwili wangu kwani anaujua fika hata akiwa ndotoni aweza kukuchorea ulivyo ati! Et Asprin thibitisha kauli hii

Nasikia Asprin wenu ni mikwara tu,
hata kuangusha shina la mchicha hawezi kwa jinsi alivyo mteke teke.
Ataweza kukuotea akuchore?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ahaa wapi!!
Uweke na mabaunsa kbs,hakuna kukimbia mtu hapo.
Na ulivyo ndembendembe ntakucharaza doggy style..... si umemsoma mwenzio kafungua sredi kule anasema kikojoleo chake kinaachia ushuzi?

 
Ruksaaaa, endelea kwa raha zako......muonyeshe we si teketeke ungewezaje kumudu wake wanne hasa Kongosho hataki shombo yule. Naamini wake wenzangu BADILI TABIA na cacico hawana pingamizi maadam mie nimekubali wao shega tu.

Yummy yani mnaruhusu 'sukari guru' ya mme wenu ilambwe?
Haya ila tuko kundi zima kama ana pumzi na ajongee BBA.
 
Last edited by a moderator:
Na ulivyo ndembendembe ntakucharaza doggy style..... si umemsoma mwenzio kafungua sredi kule anasema kikojoleo chake kinaachia ushuzi?


teh teh teh teh,
kwa hyo style zote umeiona hiyo cha Dog?
Hebu muulize Yummy wako anazijua ngapi?
Mh! Ya kishuzi imeniacha hoi.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh,
kwa hyo style zote umeiona hiyo cha Dog?
Hebu muulize Yummy wako anazijua ngapi?
Mh! Ya kishuzi imeniacha hoi.
Hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama Yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?

 
Last edited by a moderator:
Hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama Yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?


Asprin bhana n'take radhi,
kumbe kuna kulia?
Cjui ati me mgeni.
cacico sijamtia machoni tangu amalize Idd,cjui ndo ashaibwa na wajanja wenye mikwanja mirefu.
Baki hapohapo na hyo Dog style yako ndo mana wakezo huwapi :mimba:
Yummy kataa Dog style,tunataka :baby: huku.
 
Last edited by a moderator:
hilo swali muulize mke wangu mdogo cacico. Tatizo yule ana wivu hawezi kuruhusu kirahisi kama yummy........... Si unamwona cacico anavyodeka? Anaililiagaje sasa?

huyo msichana wallah mashaallah! Khaaaaaaaaaaa! Hubby hii picha yangu umeitoa wapi jamani, na mi nilishaipeleka makumbusho wakaihifadhi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…