Vingine raha vingine karaha.

Mhh. Nishaogopa ngoja nikimbie nisijeonekana. Ila watu wengine bhana..
 
Aaaaaaiseeeeee.....duh! Choo si kina-mifunza jamani...

hivyo vya uswahilini mkuu...
uzunguni sisi huku tunapitisha ulimi...
mpaka panang'aa afu mambo mengine ndio yanafuata.
 
hivyo vya uswahilini mkuu...
uzunguni sisi huku tunapitisha ulimi...
mpaka panang'aa afu mambo mengine ndio yanafuata.

Bahati yako huko udhunguni hakuna pombe ya komoni. Njoo bongo ukutane na mteja aliyebugia hiyo kinywaji.
 
Mhh. Nishaogopa ngoja nikimbie nisijeonekana. Ila watu wengine bhana..

Usiogope! Jf jando, jf unyago, jf kitchen party, jf ngariba, jf kungwi, jf ndo kila kitu.
 
aiseeee mi hata cjui napenda nini?? mbona vyote naramba??? henu Yummy popote ulipo nichagulie kipi nijisevie hapo juu!?
 
Last edited by a moderator:
hivyo vya uswahilini mkuu...
uzunguni sisi huku tunapitisha ulimi...
mpaka panang'aa afu mambo mengine ndio yanafuata.

Mie natumiaga vya uarabuni ila sipangusi na ulimi kabisa asilani.....
 
Last edited by a moderator:
Uvinza na chakula toto ndio yenyewe hii ingine kwa kinyesi si muzuri kwa afya..
 
Yummy kunani tena?
Mbona uliadimika?
Au Asprin keshaharibu mfumo wa mwili wako?
Usipotee bhana.
Madame B mtajwa hapo juu kamwe hawezi haribu mfumo wa mwili wangu kwani anaujua fika hata akiwa ndotoni aweza kukuchorea ulivyo ati! Et Asprin thibitisha kauli hii
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…