Vingine ni kujidhalilisha

mshana jr
leo nakupinga kidogo. Kujidhalilisha kiaje? Mabega swafiiii, ungenyanyua picha, miguu huenda swafiii. Uso nimekubali. Kama amejaliwa mwache atufaidishe macho yatosha
 
mshana jr
leo nakupinga kidogo. Kujidhalilisha kiaje? Mabega swafiiii, ungenyanyua picha, miguu huenda swafiii. Uso nimekubali. Kama amejaliwa mwache atufaidishe macho yatosha
mangatara angalia hayo mavazi kwa makini
 
Last edited by a moderator:
kuna maisha baada ya huu upumbavu wanaoufanya,kuna kesho na keshokutwa na hata kama ni njaa sio kiivo:crazy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…