Ving'amuzi

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,424
503
Bei ya king'amuzi cha startimes!! Pamoja na kufungiwa ina gharimu sh ngapi niwe nimeziandaa! Asanteni
 
mi binafsi ilinigharimu 54000 Kununua, kilikuwa tayari na bundle ya mwezi. Ufungaji hakuna complication. Ni kama kuunga deki tu yakawaida
 
asante sana kiongozi
 
Back
Top Bottom