china material, tumia dish tu achana na ving'amzi.
poor signal..
Nipo Kimara na msg zao utasikia NO connect, mara not subscribed wakati nimelipia miezi miwili. Ila channel za kichina hupati tatizo hilo. Na kwa ITV, clouds TV wakati mwingine zinakuwa hazina sauti.