Ving'amuzi vya digitex

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,666
Reaction score
13,987
Wadau
habari za asubuhi.Jamani siku hizi mbili,tatu za nyuma niliona tangazo
kwenye chaneli ya EATV kuwa wataleta king'amuzi kinachoitwa
Digitex.Mwenye uelewa wa chanel zake atudokeze japo kwa uchache tu.
tujipange katika kuelekea kwenye mfumo mpya wa digitali.Naomba kuwasilisha wakuu
 
Bado hawajaweka wazi. Wanasema jiandaeni kupata decoder ya mpeg4 hivi karibuni na chanel kibao za kuvutia. Tuwe na subira wataweka hadharani chaneli zao pamoja na bei na mfumo-kama ni wa dish au antena. Mkuu na mimi nimewasilisha.
 
Icho Kitakuwa Bomba Sababu Ni Cha Kisasa Zaidi Kuhusu Channel Bado Hazijawekwa Hadharani Labda Tusubiri Tuone
 
hivi ni digitex au digitec?. hata mimi nmeona hilo tangazo. hicho king'amzi kitakua na uwezo wa kutumia flash. kina ubora wa hali ya juu. hawa startimes wanazingua. ngoja wafunikwe hadi washangae!. hii itakua fast-jet ya digital. mia
 
Icho Kitakuwa Bomba Sababu Ni Cha Kisasa Zaidi Kuhusu Channel Bado Hazijawekwa Hadharani Labda Tusubiri Tuone
uzuri wa king'amuzi au tv ni channels zilizopo na kwa trends za dunia ya sasa kuna channels ambazo ni dominant mfano habari (cnn, DW, bbc nk), muziki (mtv, channe 0) na mambo kama hayo. Endapo hakina hivyo vitu na ligi kubwa duniani kwa ajili ya michezo ni kazi bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…