hivi kuna watu mna akili gani...kwa hiyo unabisha kwamba vingamuzi vyangu havijaharibika au?na nani kakwambia nimefanya research?unajua nilikuwa najiulizaga sana kwanini mtu anamtukana mtu humu jf wakati hawafahamiana lakini kumbe kuna watu mnastahili kutukanwaUnachofanya ni kuharibu biashara za watu kwa research yako ya kibwege, mi changu kina mwaka na miezi kadhaa bado kiko fit, usipende kukurupuka kuandika vitu visivyo na uhakika
wapi naweza pata receiver tu ya azam hapa dar?
Ahsante mkuuNenda ofisi ya azam tazara Ile inayoangalia Nyerere road.
Mkuu ni kweli, hata mimi changu kimekwama hivyo hivyo! Nimeamua kutumia zuku na Aristat.hivi kuna watu mna akili gani...kwa hiyo unabisha kwamba vingamuzi vyangu havijaharibika au?na nani kakwambia nimefanya research?unajua nilikuwa najiulizaga sana kwanini mtu anamtukana mtu humu jf wakati hawafahamiana lakini kumbe kuna watu mnastahili kutukanwa
hivi kuna watu mna akili gani...kwa hiyo unabisha kwamba vingamuzi vyangu havijaharibika au?na nani kakwambia nimefanya research?unajua nilikuwa najiulizaga sana kwanini mtu anamtukana mtu humu jf wakati hawafahamiana lakini kumbe kuna watu mnastahili kutukanwa
Hata zuku haikamati wakati mvua inanyeshahivi ving'amuzi vya azam ni shida. Mvua ikinyesha havikamati channel