Ving'amuzi Vinavyoongoza kuwa na Idadi kubwa ya Watumiaji Tanzania

DStv kuna kipindi walifika 400k
Why wameshuka?..
Nahisi hizi data zina errors..

Digitek na zuku karibu sawa? Digitek bado ipo? Kweli?
Gharama babu, wengi tunanunua offer ikiisha tunarudi Azam na startimes. Washanipigia simu mpaka basi
 
jambo ambalo mlaji analoliangalia ni uwezo wa kumudu bei za vifurushi mara msimu wa offer utakapoisha

leo hii angalia bei za vifurushi na uwezo wa wanajamii kujiunga

angalia idadi ya channel zitolewazo buru mara kifurushi kiishapo
 
mim na kingamuz changu cha Startime nmekitupa ndan kama miaka mitatu cha antena jmos nmekiwasha apa naangalia chanel za bure zote local apa ndpo mchna alipo wapga kna dstv
 
Azam wameweka cartoon channels bei juu hawajui tunalipa vifurushi kwa ajili ya wtt maana muda wa kuangalia Tv wengine hatuna
 
Back
Top Bottom