Ving'amuzi Vinavyoongoza kuwa na Idadi kubwa ya Watumiaji Tanzania

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
StarTimes 1,931,551

Azam 802,436

Dstv 187,813

Zuku 43,181

Continental 42,502

Digitek 40,819

Agape-TING 3,766
IMG_5811.jpg
 
Startimes Nakumbuka Tandika Nilinunua Kisimbuzi Tshs 15000/=
Na Antenna Yake Kufika Home Offer Ya Mwezi
Watoto Wakafurahi Mpaka Kesho Local CChannels Zote Bure Mpaka Mwisho. Haa Kuna Wakati Silipi Wananipigia Wakiwa Na Offer

Mwezi Walikuwa Na Offers Ukilipa Tshs 15000/= Mwezi Mmoja Utaona Channel Zote
 
Startimes imeitoa kimasomaso gavamenti kama wakina mzumbe, kibaha kwenye matokeo ya sekondari
 
Hivyo ni ving'amuzi ambavyo viko active au vilivyouzwa. Maana hata mimi nina Startimes, Zuku na DStv. Ila Startimes na Zuku sijatumia huu mwaka wa 5. Na mimi wamenihesabia?
 
DStv kuna kipindi walifika 400k
Why wameshuka?..
Nahisi hizi data zina errors..

Digitek na zuku karibu sawa? Digitek bado ipo? Kweli?
Dstv kwa sasa watu wanaikimbia kwanza haina local channel za nyumbani nani ataangalia move,miziki,kung fu tangu asbh mpaka jioni
Shie bora startime aongoze tuu
 
Back
Top Bottom