pantheraleo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 693 Reaction score 889 May 19, 2013 #1 Wazee wa anti-virus watakwepo bungeni. Ila hawajaeleza ni kwasababu gani.
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 477 May 19, 2013 #2 Wasitukane tu huko Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,751 Reaction score 63,055 May 19, 2013 #3 pantheraleo said: Wazee wa anti-virus watakwepo bungeni. Ila hawajaeleza ni kwasababu gani. Click to expand... wamemtembelea wazili kivuli na sanaa ni michezo na member mwenzao wa vinega mh joseph mbilinyi aka sugu. mia
pantheraleo said: Wazee wa anti-virus watakwepo bungeni. Ila hawajaeleza ni kwasababu gani. Click to expand... wamemtembelea wazili kivuli na sanaa ni michezo na member mwenzao wa vinega mh joseph mbilinyi aka sugu. mia
pantheraleo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 693 Reaction score 889 May 19, 2013 Thread starter #4 Unadhani nyimbo yao ipi ambayo haina matusi na neno ru-gay?
pantheraleo JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 693 Reaction score 889 May 19, 2013 Thread starter #5 figganigga said: wamemtembelea wazili kivuli na sanaa ni michezo na member mwenzao wa vinega mh joseph mbilinyi aka sugu. mia Click to expand... Wataungana na team nzima pamoja na Sugu.
figganigga said: wamemtembelea wazili kivuli na sanaa ni michezo na member mwenzao wa vinega mh joseph mbilinyi aka sugu. mia Click to expand... Wataungana na team nzima pamoja na Sugu.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,302 Reaction score 38,472 May 19, 2013 #6 mapambano yanaendelea.!