nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,451
- 2,313
Hongera sana Vincent Nyerere sasa ni mchakamchaka mtindo mmoja.
Nimemkubali Dr Slaa kwa mikakati yake kababe kukitoa chama kwenye misukosuko na hivi sasa chama kimekamilika uongozi umetulia hakika Chadema ni chama kubwa!
futa,delete kabisa ccm