Vincent Nyerere m/kiti mpya CHADEMA mkoa wa Mara

Vincent Nyerere m/kiti mpya CHADEMA mkoa wa Mara

Kwa hiyo mwenyekiti wa ccm mkoa wa mara ni makongoro nyerere, na mwenyekiti wa cdm mkoa ni vicenti nyerere! Duh hapo kazi ipo..

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa mara si Makongoro Nyerere,alishindwa katika uchaguzi.
 
baada ya zoezi la uchaguzi wa mkoa wa mara kusimamishwa hatimaye jana ulifanyika.mimi niliye kuwa miongoni mwa wagombea sikugombea kwa kuwa nilimwamini mhe vincent nyerere kwamba kazi ambayo nilitaka kuifanya anaimudu.
katika uchaguzi wa jana wagombea walikuwa watatu na matokeo ni kama ifuatavyo
mhe william ademba alipata kura 1
mhe king haile alipata kura 30
mhe vincent nyerere alipata kura 40
kwa matokeo hayo mhe vincent nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa mkoa.
wito wangu kwa wana Mara na majirani zetu ni kumuunga mkono mwenyekiti wa mkoa ili atende na kutimiza majukumu ya chama na kuleta ukombozi wa kweli.hii kazi ngumu ya mshike mshike kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu 2015.

Kwa uzi huu Waitara unaonekana huna kinyongo. Huu ni ukomavu kisiasa, tusonge mbele.
 
Kwa uzi huu Waitara unaonekana huna kinyongo. Huu ni ukomavu kisiasa, tusonge mbele.

Waitara ni jembe ila kuna maboya mengine yalikuwa yanataka madaraka wakati hayana hoja na hayawezi kujieleza,hongera nyerere endeleza ziara ya kuizika ccm nakukubali sana utendaji wako hauna mashaka
 
Nyerere kawashughulikia magamba nje,sasa anawashughulikia ndani,na ccm haipo tena mkoa wa mara
 
Baada ya zoezi la uchaguzi wa mkoa wa Mara kusimamishwa hatimaye jana ulifanyika.Mimi niliyekuwa miongoni mwa wagombea sikugombea kwa kuwa nilimwamini mh. Vincent Nyerere kwamba kazi ambayo nilitaka kuifanya anaimudu.

Katika uchaguzi wa jana wagombea walikuwa watatu na matokeo ni kama ifuatavyo;

- Mh. William Ademba alipata kura 1
- Mh. King Haile alipata kura 30
- Mh. Vincent Nyerere alipata kura 40

Kwa matokeo hayo mh. Vincent Nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa mkoa.

Wito wangu kwa wana Mara na majirani zetu ni kumuunga mkono mwenyekiti wa mkoa ili atende na kutimiza majukumu ya chama na kuleta ukombozi wa kweli.Hii kazi ngumu ya mshike mshike kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu 2015.

Kamanda Waitara hongera kwa ukomavu, make book 7 walisha kimbili kuchafua hali ya hewa.. hoo kaonewa... hoo nafasi ilikuwa yake.. inshort umewapiga super glue! Go go CHADEMA.
 
Baada ya zoezi la uchaguzi wa mkoa wa Mara kusimamishwa hatimaye jana ulifanyika.Mimi niliyekuwa miongoni mwa wagombea sikugombea kwa kuwa nilimwamini mh. Vincent Nyerere kwamba kazi ambayo nilitaka kuifanya anaimudu.

Katika uchaguzi wa jana wagombea walikuwa watatu na matokeo ni kama ifuatavyo;

- Mh. William Ademba alipata kura 1
- Mh. King Haile alipata kura 30
- Mh. Vincent Nyerere alipata kura 40

Kwa matokeo hayo mh. Vincent Nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa mkoa.

Wito wangu kwa wana Mara na majirani zetu ni kumuunga mkono mwenyekiti wa mkoa ili atende na kutimiza majukumu ya chama na kuleta ukombozi wa kweli.Hii kazi ngumu ya mshike mshike kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu 2015.

Kazi inaendelea intarahamwe wakimsikia nyerere wanapoteana viva nyerere viva waitara
 
Baada ya zoezi la uchaguzi wa mkoa wa Mara kusimamishwa hatimaye jana ulifanyika.Mimi niliyekuwa miongoni mwa wagombea sikugombea kwa kuwa nilimwamini mh. Vincent Nyerere kwamba kazi ambayo nilitaka kuifanya anaimudu.

Katika uchaguzi wa jana wagombea walikuwa watatu na matokeo ni kama ifuatavyo;

- Mh. William Ademba alipata kura 1
- Mh. King Haile alipata kura 30
- Mh. Vincent Nyerere alipata kura 40

Kwa matokeo hayo mh. Vincent Nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa mkoa.

Wito wangu kwa wana Mara na majirani zetu ni kumuunga mkono mwenyekiti wa mkoa ili atende na kutimiza majukumu ya chama na kuleta ukombozi wa kweli.Hii kazi ngumu ya mshike mshike kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu 2015.

uchaguzi wa mwanzo wagombea walikuwa ni king haile na waitara,na waitara alichukua fomu ya kugombea kwakuwa hakukuwa na mtu ambaye kimsingi aliamini angeweza kumudu majukumu ya uenyekiti wa mkoa,ila awamu hii ya pili baada ya nyerere kuchukua fomu waitara aliona kazi ambayo nyerere anaweza kufanya ni sawa na ambavyo yeye angefanya,hivyo hakugombea tena na akaamua kumuunga mkono nyerere
 
Mkoa wa mara umepata mwenyekiti dhaifu

Free Data
Mwita Waitara
KESHO NI UCHAGUZI WA MKOA WA MARA.
BAADA YA UCHAGUZI WA MKOA WA MARA
KUAHIRISHWA SASA UTAFANYIKA KESHO
BUNDA.
MHE.VICENT NYERERE ANAGOMBEA
MWENYEKITI WA MKOA NA MIMI NAMUUNGA
MKONO.
NILIKUWA NAGOMBEA BAADA YA KUONA
KULIKUWA NA MAPUNGUFU KWA WALE
WALIOKUWA WAMECHUKUA FOMU.KWA SASA
NIMEONA HAKUNA SABABU KWA KUWA
MHE.VICENT NYERERE ANATOSHA NAOMBA
WANA MARA MUMUUNGE MKONO ILI KULETA
UJENZI IMARA KATIKA MKOA NA PIA
HESHIMA KWAKE NA USHINDI MUSOMA MJINI
MWAKA 2015 NA MAJIMBO YOTE KATIKA
MKOA WA MARA NA TUNAANZA MWAKA HUU
KWA KUSHINDA SERIKALI ZA MITAA.
October 18 at 11:54am · Public
Unlike · 42 Comments · Share
 
Hiyo nafasi ilikuwa ya Mwita Waitara ila CHADEMA wamempoka...unafiki unawatesa

Free Data
Mwita Waitara
KESHO NI UCHAGUZI WA MKOA WA MARA.
BAADA YA UCHAGUZI WA MKOA WA MARA
KUAHIRISHWA SASA UTAFANYIKA KESHO
BUNDA.
MHE.VICENT NYERERE ANAGOMBEA
MWENYEKITI WA MKOA NA MIMI NAMUUNGA
MKONO.
NILIKUWA NAGOMBEA BAADA YA KUONA
KULIKUWA NA MAPUNGUFU KWA WALE
WALIOKUWA WAMECHUKUA FOMU.KWA SASA
NIMEONA HAKUNA SABABU KWA KUWA
MHE.VICENT NYERERE ANATOSHA NAOMBA
WANA MARA MUMUUNGE MKONO ILI KULETA
UJENZI IMARA KATIKA MKOA NA PIA
HESHIMA KWAKE NA USHINDI MUSOMA MJINI
MWAKA 2015 NA MAJIMBO YOTE KATIKA
MKOA WA MARA NA TUNAANZA MWAKA HUU
KWA KUSHINDA SERIKALI ZA MITAA.
October 18 at 11:54am · Public
Unlike · 42 Comments · Share
 
Hivi kurundika madaraka kwa mtu mmoja ni mbaya kweli au ni mbaya ikiwa kwa chama fulani tuu??!!!

Kurundika madaraka kwa mtu mmoja hakuna uzuri wwt Ila kwa upande wa vyama vya upinzani wanasema Mazingira yao ni magumu kwa sasa ikiwa watagawa vyeo bila kuwa na mtu ambae Anaaminika Itawaletea matatizo na kupelekea chama kuyumba so Ili kuepuka kununuliwa ndio wanafanya hivyo kwa hapa mwanzoni ili chama kiwe kwenye mikono salama hadi hapo baadae,,Sababu kwa SIASA zetu hizi za Africa zakutanguliza TUMBO lazima kujilidhisha sana na mtu mnae mpa uongozi,,,,,!
 
Kweli kamanda hatuhitaji watu kama zzk
 
Free Data
Mwita Waitara
KESHO NI UCHAGUZI WA MKOA WA MARA.
BAADA YA UCHAGUZI WA MKOA WA MARA
KUAHIRISHWA SASA UTAFANYIKA KESHO
BUNDA.
MHE.VICENT NYERERE ANAGOMBEA
MWENYEKITI WA MKOA NA MIMI NAMUUNGA
MKONO.
NILIKUWA NAGOMBEA BAADA YA KUONA
KULIKUWA NA MAPUNGUFU KWA WALE
WALIOKUWA WAMECHUKUA FOMU.KWA SASA
NIMEONA HAKUNA SABABU KWA KUWA
MHE.VICENT NYERERE ANATOSHA NAOMBA
WANA MARA MUMUUNGE MKONO ILI KULETA
UJENZI IMARA KATIKA MKOA NA PIA
HESHIMA KWAKE NA USHINDI MUSOMA MJINI
MWAKA 2015 NA MAJIMBO YOTE KATIKA
MKOA WA MARA NA TUNAANZA MWAKA HUU
KWA KUSHINDA SERIKALI ZA MITAA.
October 18 at 11:54am · Public
Unlike · 42 Comments · Share

hakuna cha kuongeza hapo kamanda waitara umeeleweka na pia naunga mkono uamuzi wako
 
MARA now talking PEOPLES..............................................................power.....................,yes Nyerere ana aminika.
 
Back
Top Bottom