Vincent Nyerere m/kiti mpya CHADEMA mkoa wa Mara

Vincent Nyerere m/kiti mpya CHADEMA mkoa wa Mara

Mhe vincent j.nyerere ndo.mwenye kiti mpya wa chadema mkoa wa mara hii nikutokana na ushindi alio upata.muda sio.mrefu katika uchaguzi uliofanyika bunda mjini...

wewe ni mwongo kabisa. amepata kura ngapi na wagombea wengine ni wakina nani?
 
....

.....Arumeru mashariki wanakukumbuka Kamanda !!! magamba walisepa bila kujitambuwa
 
Habari za huyu mvuta bangi zimetuchosha. Hivi hamsikii?
 
Ina maana musoma hamna wanachadema wenye uwezo zaidi ya huyu muhuni? Waitara Chadema wamemtumia sasa hivi wamumtupa.kule
 
Ina maana musoma hamna wanachadema wenye uwezo zaidi ya huyu muhuni? Waitara Chadema wamemtumia sasa hivi wamumtupa.kule
uko kwenye sikuuu zako ya Musoma tuachie wana Musoma matapeli wamejaa Lumumba sisiemu ndio nyumbani kwao
 
Hivi kurundika madaraka kwa mtu mmoja ni mbaya kweli au ni mbaya ikiwa kwa chama fulani tuu??!!!
 
Back
Top Bottom