Vincent Nyerere m/kiti mpya CHADEMA mkoa wa Mara

Vincent Nyerere m/kiti mpya CHADEMA mkoa wa Mara

Mhe vincent j.nyerere ndo.mwenye kiti mpya wa chadema mko vinywa vya a wa mara hii nikutoka mkapa,napena na ushindi alio upata.muda sio.mrefu katika uchaguzi uliofanyika bunda mjini...



Kwa kweli vicent nyerere alichokifanya kule Arumeru kuviangusha vigogo vya ccm akiwa kampeni meneja,anastahili,nakumbuka alifunga vinywa vya nape,mkapa,mwigullu,na katibu wao aliyekimbizwa hadi wakamtoa,alifanya kazi kubwa kwa nassary,hongera, sasa bado makongoro na madaraka wote watakuja chadema tunawashukuru kqa maandalizi yao,tutawapokeeni
 
Mawazo yako ni ya KIDODO....
mhe vincent nyerere kura 40
mhe king haile kura 30
mhe patrobas ademba kura 1
kwa kura hizo mhe vincent nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara.
 
Baada ya zoezi la uchaguzi wa mkoa wa Mara kusimamishwa hatimaye jana ulifanyika.Mimi niliyekuwa miongoni mwa wagombea sikugombea kwa kuwa nilimwamini mh. Vincent Nyerere kwamba kazi ambayo nilitaka kuifanya anaimudu.

Katika uchaguzi wa jana wagombea walikuwa watatu na matokeo ni kama ifuatavyo;

- Mh. William Ademba alipata kura 1
- Mh. King Haile alipata kura 30
- Mh. Vincent Nyerere alipata kura 40

Kwa matokeo hayo mh. Vincent Nyerere alitangazwa kuwa mwenyekiti wa mkoa.

Wito wangu kwa wana Mara na majirani zetu ni kumuunga mkono mwenyekiti wa mkoa ili atende na kutimiza majukumu ya chama na kuleta ukombozi wa kweli.Hii kazi ngumu ya mshike mshike kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu 2015.
 
Kwa hiyo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ni Makongoro Nyerere, na mwenyekiti wa CHADEMA mkoa ni Vicenti Nyerere! Duh hapo kazi ipo..
 
Hiyo nafasi ilikuwa ya Mwita Waitara ila CHADEMA wamempoka...unafiki unawatesa
 
Back
Top Bottom