Vinasaba vyaonyesha Waingereza walikuwa weusi

Vinasaba vyaonyesha Waingereza walikuwa weusi

ubora wangu utakuwa kwenye maisha yangu mwenyewe sio ya mtu,kila mtu na kaburi lake mkuu,kwanza mimi kisha jamii na yazungukayo.unaweza kuwa mwafrika na ukawa hupendi kuwa hivyo.mimi napenda kuwa mweusi mkulu.mwabudu mizimu original
Kuwa muafrika sio lazima uwe mweusi na ndiyo maana nasema nyie watu sio kwamba mnapenda kuwa hivyo mlivyo ila ndiyo imebidi mkubali kwa kuwa ndiyo mshakuwa hivyo,mbona wengine hatuji humu kusema sijui mtu mweusi alikuwa hivi mara vile.
 
MWAFRIKA NI MTU MWEUSI.nukta huo wa kiramani ni wa kwako na wazungu wenzio
 
mungu akamuuliza.kaini,yu wapi nduguyo?

kaini akajibu kwani umeniweka kua mlinzi wake.

mungu akamwambia damu ya ndugu yako inakulilia aldhini kuanzia sasa huta lima wa kuvuna.

kaini akasikitika na akasema,mbona umenipa adhabu kubwa hivyo!naomba nifanye nienda mbali na hapa.

mungu akamluhusu kuondoka,

kaini akahoji tena ,sasa huko niendako si wataniua?

mungu akamwambia nitakuweka alama na hakuna atakae thubutu kukua na atakae kuua atakufa mala7 yako.

kwahiyo wazungu ote ni ukoo wa kaini.wamepewa laana baada ya tabia yao ya kutuua na wamepelekwa kwenye bara lisilokua na maliasili wala rutba kwa kilimo na kwa maandiko haya ya kaini ndio yaliowafanya wazungu kuja tena kututawala na kubeba mali zetu.

wenzetu wanasoma vitabu hivi na wanapata faida hata hapa duniani ,likini sisi wachungaji wanatusomea mistari ya sadaka tu na wanajifanya kuchambua kutwa nzima.
Hiyo ilikuwa mwaka gani mkuu?
 
Mwanadamu hakuzuka wala hakutokea tu kwa bahati mbaya.
Binadamu ameumbwa ila mazingira ndio yamembadilisha,kiwango cha melanin kinategemea mazingira uliyopo kwa maelfu ya miaka,mwanadamu kaumbwa miaka mingi sana takriban malaki hadi mamilioni yaliyopita.
 
Binadamu ameumbwa ila mazingira ndio yamembadilisha,kiwango cha melanin kinategemea mazingira uliyopo kwa maelfu ya miaka,mwanadamu kaumbwa miaka mingi sana takriban malaki hadi mamilioni yaliyopita.

Evidence ya kwamba binadamu KAUMBWA miaka hiyo iliyopita?
 
Safi kabisa, ila wengine tulishasoma hilo. Swala wametuacha kimaendeleo wapi?!
 
images (2).jpeg
 
Binadamu ameumbwa ila mazingira ndio yamembadilisha,kiwango cha melanin kinategemea mazingira uliyopo kwa maelfu ya miaka,mwanadamu kaumbwa miaka mingi sana takriban malaki hadi mamilioni yaliyopita.

Unaweza ukkaitumia biblia kuthibitisha hilo?
 
Utafiti wa vinasaba unaonyesha hivi ndivyo Mwingereza wa zamani alivyokuwa. Alikuwa na ngozi nyeusi na nywele nyeusi zenye kujipindapinda. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mabaki ya mifupa ya mtu yaliyoitwa Cheddar Man aliyefariki miaka 10,000 iliyopita. Mabaki hayo kaili ya binadamu ndiyo ya zamani zaidi kupatikana nchini Uingereza.
UCHUNGUZI wa vinasaba (DNA) uliofanywa karibuni umeonyesha kwamba Mwingereza aliyeishi miaka ipatayo 10,000 alikuwa na ngozi nyeusi, macho ya bluu na nywele nyeusi, ndefu zenye kujipindapinda.
Utafiti huo ulitokana na mabaki ya fuvu na mifupa kamili ya binadamu aliyekufa miaka 10,000 iliyopita aitwaye Cheddar Man ambavyo vilichimbuliwa eneo la Cheddar Gorge, Somerset, Uingereza, mwaka 1903 na ambapo mabaki hayo yanasemekana kuhusiana kinasaba na mtu mmoja kati ya kumi nchini Uingereza leo.

Mabaki kamili ya Cheddar Man yaliyofanyiwa utafiti.
Vipimo vilivyochukuliwa vinaonyesha kwamba asilimia 76 ya mtu huyo wa Cheddar, alikuwa mtu mweusi ambapo inaonyesha pia kwamba wakazi wa visiwa vya Uingereza, walikuja kupata ngozi nyeupe baadaye kutokana na mazingira yaliyokuwepo.

Fuvu la Cheddar Man lililofanyiwa uchunguzi mkubwa zaidi.
Wakati wa Cheddar Man anafariki, idadi ya watu nchini Uingereza ilikuwa ni 12,000 ambapo vinasaba vya mtu huyo leo hii vimepatiana katika nchi zingine za Ulaya huko Hispania, Hungary na Luxembourg.
Waingereza wa leo wakijilinganisha na Mwingereza aliyekuwepo miaka10,000 iliyopita.
Wanasayansi wanasema pia kwamba mababu wa Cheddar Man waliingia Uingereza kupitia Mashariki ya Kati baada ya kuondoka barani Afrika.
King James VI aliyeandika king james bible was a black man.
 
Back
Top Bottom