Si ukabila wala uJF Ta Kamugisha! ndio maana sikuifunga hiyo list nikaweka hizo dot dot kuonesha nawe umo pia! na hata mwinginewe hata wewe kama kuna unaemjua muweke tu usijali mkuu...LoL!
mzima amyner,
leo sijamuona erick kabisa is he ok?
salok,
mwenzio unamuwakilisha na dot?
Nawewe umeanza kuiga tabia za Bagah eeeeeeebu nitetee kwanza bagah, unanikandamiza tena?
mwali ndo huniacha hoi
sijui ni mlinzi wa seva ya jf
saa 9 usiku, yuko active sana.
Miss you Kabyhehe this is so true
nawewe umeanza kuiga tabia za bagah eeeeee
ngoja nimlete muungane tuone bomu litakaloibuka
Miss you Kaby
Majungu na maneno mbofumbofu na kuwataka shemeji zako....Lol tutawaandalia jukwaa lenu penu then mtapata washirikatabia gani tena hizo?
Teh hata mimi kuna wakati nilifulia nkafanya mpango wa faster kurudi hewani....i know jamani,nimeanza kufilisika ghafla ndo naweka mambo sawa
Huku nilipo haturuhusiwi kutumia majina ya kiswahili, subiri nikikuja huko ntakupa ruhusa......sasa mwenzenu vip au ndo fimbo ya mbali?mdogo wake niko dar anipe kazi ya ulinzi nimsaidie
shem bado natamani jina lako kwa kiswahili!
Wifi umeona husninyo kaachika?i know jamani,nimeanza kufilisika ghafla ndo naweka mambo sawa
SL mbona uwepo wako ni wa kusuasua km mimi?Huku nilipo haturuhusiwi kutumia majina ya kiswahili, subiri nikikuja huko ntakupa ruhusa...
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWifi umeona husninyo kaachika?
Teh hata mimi kuna wakati nilifulia nkafanya mpango wa faster kurudi hewani....
Hope mzima eeeh
Wifi umeona husninyo kaachika?
Kidumu bado anacho, ndoo imeanguka lol.. Anahaha tu sasa!Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nani tena kamwacha maana nayeye alikuwa na kidumu na ndooo
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nani tena kamwacha maana nayeye alikuwa na kidumu na ndooo
Pole sana aisee maana nasikia jino nomaaa sana....naumwa jino pia nataka ning'oe nimeandamwa na majanga mwenzenu lol