Vinara mgogoro wa gesi watajwa...

Vinara mgogoro wa gesi watajwa...

Majina yao
makampuni ya mafuta
mafisadi wanaotaka urais 2015 wakiongozwa na whaite hair
mh. Murji mbunge
mh. Kapenjala ndile dc mtwara
mh.njwayo mbunge tandahimba kwa kutowajibika.
Lengo kumharibia rais wa jamhuri

fanyeni yale mliyowahaidi wanamtwara siyo hizi porojo mnazozileta hapa hazitawasaidi hata kidogo.hao mnaowasema mnakumbuka aibu iliyowapata kwenye issue ya meli za mafuta za iran mkiambiwa mthibitishe macho yatawatoka ka mjusi aliyebanwa na mlango.mnaleta propoganda hapa wakati jk kila siku kiguu na njia kuomba.usa akikufungia ur done ushawishi wake kwa mataifa mengine ni mkubwa sana.toeni hiyo mikataba wananchi wajiridhishe
 
Back
Top Bottom