Vinara mgogoro wa gesi watajwa...

Vinara mgogoro wa gesi watajwa...

Bado tutaeleza mengi. wasiwasi wangu tu inawezekana habari hii inawezekana imeandaliwa kuangalia upepo. Mimi ni moja ya wanaoamini kuwa kuna mkono wa wafanyabisha wa sekta ya nishati katika mgogoro huu.
 
Jumanne, Februari 05, 2013

Matajiri wakubwa nchini wanaojihusisha na biashara ya mafuta ya petroli, mafuta mazito ya viwandani na kampuni kubwa za kimataifa, ni miongoni mwa wanaochochea mgogoro wa kupinga ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam , JAMHURI imethibitishiwa.

Kwenye mgogoro huo, zimo kampuni zinazoingiza nchini gesi ya matumizi ya nyumbani (LPG), pamoja na mataifa makubwa ya Magharibi ambao kwa desturi yamekuwa yakijitahidi kuhakikisha mataifa machanga, ikiwamo Tanzania , yanaendelea kuyanyenyekea kwa misaada.

Pamoja na ukweli huo kujulikana, tatizo jingine kubwa limebainika kuwapo kwa viongozi wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao, ama kwa woga au kwa kutotaka kuwachukiza “wakubwa”, wameshindwa kuwapasulia jipu wahusika wakuu kwenye mgogoro huu.
Badala yake, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Rais Jakaya Kikwete wametajwa kwamba wamekuwa na kauli za kuwalenga wanasiasa wa hapa nchini na viongozi wa kidini kama wachochezi wakuu.Miongoni mwa wanasiasa walio mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bomba la gesi kwa kudai anawatetea wananchi wa Mtwara, ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).

Habari zilizopatikana mwishoni mwa wiki zinasema Serikali inajiandaa kukabiliana na “wakubwa” wanaopinga mradi huo, kwa kuwaandikia barua na wengine kuwaita. Miongoni mwao kuna mabalozi (majina tunayo) ambao wamebainika kuwa nyuma ya mgogoro huo.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini pasi na shaka kwamba lipo kundi la wanasiasa linalotumiwa na wafanyabiashara ya mafuta ya petroli na mafuta mazito, ambao wanaamini kuwa mwisho wa biashara yao utatokana na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara.

Hofu hiyo imewafanya wafanyabiashara hao wahahe huku na kule, lengo likiwa kukwamisha mpango huo ambao kiuchumi unatajwa kama mwarobaini maridhawa.
Habari za uhakika kutoka serikalini zinasema kwamba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) pamoja na Benki ya Dunia ni miongoni mwa wachochezi wakuu kwenye mgogoro huu. Pamoja nao, ni mataifa ya Magharibi ambayo ndiyo yanayoshikilia na kuongoza taasisi hizo za fedha.“Wanahoji iweje mradi huu ujengwe na Tanzania kwa fedha za mkopo kutoka China . Si hivyo tu, wanahoji kwanini usimamizi ufanywe na shirika la umma (Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ).

Walitaka kazi hiyo iangukie kwenye mikataba ya kudumu ya kampuni zao kama walivyofanya kwenye Songas na Pan African,” kimesema chanzo chetu.
Chanzo hicho kimesema hofu nyingine iliyo wazi ni kasi ya ushirikiano wa China na mataifa ya Afrika, hasa Tanzania ; huku mataifa ya Magharibi yakionekana kutopewa kipaumbele katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo.

Wafanyabiashara ya mafuta wahaha
Kundi la wafanyabiashara ya mafuta ya petroli na mafuta mazito ya viwandani, ndilo linaloonekana kuwa kwenye wakati mgumu. Hawa wanashirikiana na kampuni za mafuta za kimataifa ambazo aghalabu huingiza mafuta na kuyauza nchini kupitia ukwepaji kodi.

Kwa upande wa matumizi ya mafuta kwa magari, baada ya ujio wa gesi jijini Dar es Salaam, magari mengi yatatumia nishati hiyo badala ya petroli na dizeli.

“Kwa sasa Serikali inatumia dola za Marekani zaidi ya milioni 200 kuagiza mafuta ya magari kila mwaka. Hizi ni fedha nyingi sana.

Ukisambaza mtandao wa gesi hadi katika magari utaokoa kiasi hiki cha fedha. Ni wazi wafanyabiashara wataathirika, kwa hiyo uamuzi huu wa ujenzi wa bomba la gesi kwenda katika jiji kubwa lenye viwanda na magari mengi kama Dar es Salaam hawautaki,” kimesema chanzo chetu.

Wafanyabiashara hao wanatambua kuwa matumizi ya gesi viwandani yatashusha mapato yao kwa sababu gharama ya matumizi ya gesi ni madogo mno kuliko mafuta.

Mfano halisi ni Kiwanda cha Saruji cha Twiga ambacho baada ya kuanza kutumia gesi, sasa gharama zake za umeme ni Sh bilioni 1.5; ilhali awali wakati wakitumia umeme walikuwa wanalipa Sh bilioni 8 kwa mwezi. Hadi sasa kuna viwanda 37 vinavyotumia gesi Dar es Salaam. Kwa sasa Tanzania inatumia nusu ya mapato yake ya fedha za kigeni kugharimia ununuzi wa mafuta.

Wengine wanaohaha kuhakikisha gesi haifiki Dar es Salaam , ni wafanyabiashara wa gesi ya LPG. Gharama ya mtungi mmoja wa kilogramu 15 inauzwa Sh 54,000 jijini Dar es Salaam.

Mapato ya wenye gesi pamoja na wafanyabiashara wa bidhaa hiyo yanatarajiwa kushuka hadi robo ya kiasi hicho, yaani mtungi huo huo utauzwa Sh 13,500 kwa ujazo huo endapo gesi itafika Dar es Salaam .

“Wanajua watakosa mapato makubwa, wananchi watapata nafuu kubwa sana . Ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa utapungua sana …Haya mambo wanayajua ndiyo maana hawataki kabisa,” kimesema chanzo kingine kutoka Wizara ya Nishati na Madini.

Kama hali ni hivyo kwa nini mikataba haiwekwi wazi,ili wazalendo wachangie mapungufu,isije kuwa kama mikataba mibovu ya madini.
Msitulaghai bwana mambo yote yako ndani ya mkoba na hayana maslai yoyote kwa wazalendo zaidi ya kumnufaisha RITZ 1, na familia yake,
 
Here we go again. Is this Paradox of prenty in action?..............Watu wengi watakuwa very sceptical na hii article kutokana na yaliyojiri nyuma kabla ya human bomb to explode Mtwara.

Hii haina utata, nchi za Magharibi kwao oil and gas ni bidhaa ambayo hata hawana soni kutumia nguvu kuipata. Lakini hii isiwe ndiyo sababu kuu kwa yaliyojiri Mtwara.

Sioni kama kungekuwa na kilio kama mpango wote usingekuwa wa kificho kabisa kwa kisingizio cha international contract law and confidentiality hata kwa Member of Parliament Committee.

Haka ka nchi kwa sasa kanaogelea kwenye maji marefu huku hakana hata ujuzi wa kuogelea. Kanataka kuanza kuzama kwenye mawimbi ya hungry and powerful international oil companies, kanaanza kupiga kelele.

Haya mambo, viongozi wetu walitakiwa wayajue mapema hata kabla ya kujiingiza kwenye mchezo wa oil and gas exploration.
 
Kwani hiyo gesi ikisindikwa dar si itapelekwa hata kwa njia nyingine?,mimi nadhaniissue hapo ni kuwa kuna hela nyingi sana watafaidi wahusika personally (kutoka serikalini)endapo bomba hilo litajengwa, kwa hiyo harakati zao ndo hizo kuendelea kutafuta sababu ili kujustify uhalali wa bomba kujengwa
 
Jumanne, Februari 05, 2013

Matajiri wakubwa nchini wanaojihusisha na biashara ya mafuta ya petroli, mafuta mazito ya viwandani na kampuni kubwa za kimataifa, ni miongoni mwa wanaochochea mgogoro wa kupinga ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam , JAMHURI imethibitishiwa.

Kwenye mgogoro huo, zimo kampuni zinazoingiza nchini gesi ya matumizi ya nyumbani (LPG), pamoja na mataifa makubwa ya Magharibi ambao kwa desturi yamekuwa yakijitahidi kuhakikisha mataifa machanga, ikiwamo Tanzania , yanaendelea kuyanyenyekea kwa misaada.

Pamoja na ukweli huo kujulikana, tatizo jingine kubwa limebainika kuwapo kwa viongozi wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao, ama kwa woga au kwa kutotaka kuwachukiza “wakubwa”, wameshindwa kuwapasulia jipu wahusika wakuu kwenye mgogoro huu.
Badala yake, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Rais Jakaya Kikwete wametajwa kwamba wamekuwa na kauli za kuwalenga wanasiasa wa hapa nchini na viongozi wa kidini kama wachochezi wakuu.Miongoni mwa wanasiasa walio mstari wa mbele kupinga ujenzi wa bomba la gesi kwa kudai anawatetea wananchi wa Mtwara, ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).

Habari zilizopatikana mwishoni mwa wiki zinasema Serikali inajiandaa kukabiliana na “wakubwa” wanaopinga mradi huo, kwa kuwaandikia barua na wengine kuwaita. Miongoni mwao kuna mabalozi (majina tunayo) ambao wamebainika kuwa nyuma ya mgogoro huo.
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini pasi na shaka kwamba lipo kundi la wanasiasa linalotumiwa na wafanyabiashara ya mafuta ya petroli na mafuta mazito, ambao wanaamini kuwa mwisho wa biashara yao utatokana na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara.

Hofu hiyo imewafanya wafanyabiashara hao wahahe huku na kule, lengo likiwa kukwamisha mpango huo ambao kiuchumi unatajwa kama mwarobaini maridhawa.
Habari za uhakika kutoka serikalini zinasema kwamba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) pamoja na Benki ya Dunia ni miongoni mwa wachochezi wakuu kwenye mgogoro huu. Pamoja nao, ni mataifa ya Magharibi ambayo ndiyo yanayoshikilia na kuongoza taasisi hizo za fedha.“Wanahoji iweje mradi huu ujengwe na Tanzania kwa fedha za mkopo kutoka China . Si hivyo tu, wanahoji kwanini usimamizi ufanywe na shirika la umma (Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ).

Walitaka kazi hiyo iangukie kwenye mikataba ya kudumu ya kampuni zao kama walivyofanya kwenye Songas na Pan African,” kimesema chanzo chetu.
Chanzo hicho kimesema hofu nyingine iliyo wazi ni kasi ya ushirikiano wa China na mataifa ya Afrika, hasa Tanzania ; huku mataifa ya Magharibi yakionekana kutopewa kipaumbele katika masuala mbalimbali ya kimaendeleo.

Wafanyabiashara ya mafuta wahaha
Kundi la wafanyabiashara ya mafuta ya petroli na mafuta mazito ya viwandani, ndilo linaloonekana kuwa kwenye wakati mgumu. Hawa wanashirikiana na kampuni za mafuta za kimataifa ambazo aghalabu huingiza mafuta na kuyauza nchini kupitia ukwepaji kodi.

Kwa upande wa matumizi ya mafuta kwa magari, baada ya ujio wa gesi jijini Dar es Salaam, magari mengi yatatumia nishati hiyo badala ya petroli na dizeli.

“Kwa sasa Serikali inatumia dola za Marekani zaidi ya milioni 200 kuagiza mafuta ya magari kila mwaka. Hizi ni fedha nyingi sana.

Ukisambaza mtandao wa gesi hadi katika magari utaokoa kiasi hiki cha fedha. Ni wazi wafanyabiashara wataathirika, kwa hiyo uamuzi huu wa ujenzi wa bomba la gesi kwenda katika jiji kubwa lenye viwanda na magari mengi kama Dar es Salaam hawautaki,” kimesema chanzo chetu.

Wafanyabiashara hao wanatambua kuwa matumizi ya gesi viwandani yatashusha mapato yao kwa sababu gharama ya matumizi ya gesi ni madogo mno kuliko mafuta.

Mfano halisi ni Kiwanda cha Saruji cha Twiga ambacho baada ya kuanza kutumia gesi, sasa gharama zake za umeme ni Sh bilioni 1.5; ilhali awali wakati wakitumia umeme walikuwa wanalipa Sh bilioni 8 kwa mwezi. Hadi sasa kuna viwanda 37 vinavyotumia gesi Dar es Salaam. Kwa sasa Tanzania inatumia nusu ya mapato yake ya fedha za kigeni kugharimia ununuzi wa mafuta.

Wengine wanaohaha kuhakikisha gesi haifiki Dar es Salaam , ni wafanyabiashara wa gesi ya LPG. Gharama ya mtungi mmoja wa kilogramu 15 inauzwa Sh 54,000 jijini Dar es Salaam.

Mapato ya wenye gesi pamoja na wafanyabiashara wa bidhaa hiyo yanatarajiwa kushuka hadi robo ya kiasi hicho, yaani mtungi huo huo utauzwa Sh 13,500 kwa ujazo huo endapo gesi itafika Dar es Salaam .

“Wanajua watakosa mapato makubwa, wananchi watapata nafuu kubwa sana . Ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa utapungua sana …Haya mambo wanayajua ndiyo maana hawataki kabisa,” kimesema chanzo kingine kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
uongo wa ccm,ni pembe la ngombe alifichiki tena,wamehama kwa chadema sasa wako kwa wafanya biashara,kama ni kweli bei ya gesi itapungua kutoka 53,000 mpaka 13;000 mbona simenti haijapungua japokuwa wanadai garama zimepungua kutoka billion 8 kwa mwezi mpaka billion 1.5 kwa mwezi, hamuwezi kudanganya milele,suala la gesi ya mtwara fanyeni iliyo haki uongo haulipi kwa wakati wa sasa
 
Kwani hiyo gesi ikisindikwa mtwara si itapelekwa dar kama gesi ikiwa tayari kwenye mitungi kutumika?,
 
Niliwahi kusikia tetesi kwamba kwenye hili deal la gesi lowassa ndio anahusika na hiyo kampuni inayotaka gesi icakatwe dar na sio mtwara,na hili gazeti la jamhuri kama kweli ni lake,hii tetesi ina make sense!
 
Haya pia mapya.

Uongo unapokuwa wazi hata kama kuna maneno ya ukweli katikati inafanya msomaji achukulie kitu chote ni uongo tu.

Hawa jamaa sasa wameishiwa pumba gani hizi wanatueleza, mbona wanadharau hivi eti ukuaji wa magari yatakayo tumia gesi inawapa waleta mafuta hofu, hivi wanajua ni kwanini kwengine bado technologia hiyo bado inagota ama? hadi wazungu waogope matumizi ya gesi afrika.
 
sioni tofauti gesi ikbaki mtwara na ikija dar yote ni Tanzania na mtumiaji ni mtanzania,serikali fanyeni kazi acheni kusaka mchawi.

Kwa hiyo ikibaki Mtwara wewe ulioko Dar utaitumia kupika ukiwa huku huku Dar au utaenda na flampeni yako Msimbati?
 
Kwani hiyo gesi ikisindikwa mtwara si itapelekwa dar kama gesi ikiwa tayari kwenye mitungi kutumika?,

Kwa hiyo nyie shida yenu ni ibebwe kwenye mitungi ili gharama iwe kubwa au kuna faida yeyote itapatikana kwa kubeba maji kwa malori kutoka Ruvu kuja Dar?
 
uenda ikawa tusipinge kila kitu maana wafanyabiashara tanzaniani kama wauaji, kumbuka wanavyobania petrol na kuchakachua
 
Niliwahi kusikia tetesi kwamba kwenye hili deal la gesi lowassa ndio anahusika na hiyo kampuni inayotaka gesi icakatwe dar na sio mtwara,na hili gazeti la jamhuri kama kweli ni lake,hii tetesi ina make sense!

Tetesi ndio tusizozitaka kama za huyu mwandishi.

Halafu mkuu, ni ujinga tena mkubwa kuendelea na mazungumzo ya gesi kuchakatwa Dar. Mbona Watanzania tunakuwa wavivu hivi. Mara ngapi tuambizane kuwa HATA KAMA MAGAMBA WASINGETAKA uwezekano wa gesi kuchakatwa mbali na ilipochimbwa haupo?

Unajua madai ya MAANA yanapoambatana na madai ya KIPUUZI kama hili la kudai gesi ichakatwe Mtwara, magamba wanaitumia hiyo kama gear ya kuonesha kuwa madai yote ni ya kipuuzi.

TUACHE UPUUZI, gesi huchakatwa pale pale inapochimbwa, iwe kwa ridhaa ya CCM au bila ridhaa ya CCM. Sasa sioni kama una akili timamu unayo sababu ya kusema gesi ichakatwe Mtwara, that is a given fact.
 
gesi ya songosongo iliambata na ongezeko la bei ya gwsi inayotumika majumbani na kauli zao zilikuwa tamu sana,wanadhani sisi ni vilaza kutaminisha kwamba hiyo gesi ya jk na ridhiwan itashusha bei ya gesi ya majumbani..nyambaf zao,gesi haitoki ntwara
sawa mkuu mbona iyo ya songosongo haijashusha bei ya gesi ya majumbani
 
Yaani wameshindwa kabisa kudanganya watu wa mtwara na watanzania wote kama walivyozoea wanaanza kutumia propaganda za kijinga kama hizi?????
 
Haya tuliyategemea hakuna jipya. hihi ni segere tu.
 
Kwa hiyo ikibaki Mtwara wewe ulioko Dar utaitumia kupika ukiwa huku huku Dar au utaenda na flampeni yako Msimbati?
Mjomba embu semezana kidogo na njaa yako na si kutetea tu kila ujinga, wewe kweli unaona kiwanda kingejengwa mtwara kingezuia nini kufanyika hapo katika maelezo ya hiyo post ya kwanza kwa maelezo ya mwandishi? mpaka watu wafanye hujumu ya kuzuia bomba kwenda dar as if wangewekeza Mtwara ingewacha bado biashara za hao wahujumu zishamiri.

Bora wangebaki na rationale hilehile tu ya economic and cost, lakini wakianza na hizi porojo zingine za kitoto ndio wanapojionyesha ujinga wao.
 
kazi imeanza
kama tungemiliki njia kuu za uchumi na kujisimamia wenyewe bila misaada,usingeweza kusikia kelele za watu wa nje kuingilia na kukwamisha miradi yetu.
hii ni zawadi yetu,kwani hatutaki kuamini kuwa tunaweza bila misaada.
nitawapa mfano mmoja tu
tuliwapa reli wahindi,kilichofanyika ni serikali kulipa mishahara ya wafanyakazi wanaomilikiwa na mwekezaji.
leo hii reli inamilikiwa na serikali,kilichotokea,tumeongeza vichwa vya gari moshi,tumeweka gari moshi DSM na sasa tumeagiza vichwa vipya.
hitimisho
kumbe tunaweza bila misaada,kwanini tuwakumbatie wajinga hawa?
 
Back
Top Bottom