- Malaya wa Huko Spain wameamriwa kuvaa vimwekuzi ili kupunguza ajali
- Prostitutes in Spainhave to wear reflective vests, like highway workers, to reduce accidents.
Wakianzisha chama, wakajisajiri, wakalipa kodi nadhani watavaa hizo vest.Labda huku Kwetu hivyo ' Vimwekuzi ' vyao wavivae katika ' Mbunye ' zao tu.
Watu mna vitukooooo!!!!Waweza ukamwita mmoja ''malaya sogea tuongee'' kumbe unaemuita ni mfanyakazi wa manispaa tena ajiheshimu..hapo utakuwa umeliamsha dude maana matusi utakayotukanwa ndo utajiuliza hivi ni nani alitunga matusi yote haya
Ahahahukivaa tuh "tushajua"
HahahahaaWatu mna vitukooooo!!!!
usalama mdogo sanakwa nje atavaa kimwekuzi, kwa ndani je usalama upo?