mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,568
- 10,624
Asante JF mmetuma vimulimuli vya Xmas na mwaka mpya kwa hali yangu sitegemei kununua mti wala taa za vumulimuli. N awaza ada za watoto hadi presha inashuka. ASANTE JAMIIFORUMS.
Presha zote zinaua ikipanda sana kosa, ikishuka sana kosa.Kama presha yako imeshuka basi upo vizuri.,,, wenzako pressure zinapanda
Sio lazima ujibu ungepita ukajambia mbele tu.matibabu ya ugonjwa wa akili yanapatikana bure.
bonyeza HAPA kufurahia huduma hii